Unayemuulizia hapa kapigwa BAN na Mimi naitwa MINOCYCLINE hivyo unavyosema una na Mimi ambaye siyo huyo Genta sikuelewi Ndugu.Genta nna shida na wew na umefunga pm
Please I'm not genta I'm MINOCYCLINE okay? I'm fed up of you Dimwits every time thinking that I'm him / her.Aisee genta uko vxr
Kwahyo ndo umekasirika?Kweli kabisa Huyu fala Bora alivyokosa.. Aliniboa sana mechi ya Simba na Yanga iliyopita alivyokuwa anajinasibu na kujifanya beki kisiki kumzuia Mayele.. wakati Mayele anatoka nje kuingia Makambo akajifanya kumsindikiza Huku akijinadi kuwa nileteeni huyo mwingine..
Leo ndo limefanya Timu isisonge mbele..
Inonga ni fala tu kama mafala wengine dadeq
Amesema shida kumzuia? Hizo shombo zake na kujikweza kwake ndo leo vinageuka kuwa kejeli kwake.Hilo tukio liliwauma Sana Uto..
Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.
Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Sure. Huwa anajiona yeye ndo anafanya kazi kuliko wenzake.Kabisa point zako zote zina ukweli,na nadhani watu wanaompenda na kumtakia mema mchezaji walitakiwa kukupongeza .Hinonga anahitaji kuonywa na kufanyia kazi madhaifu yake ya ubinafsi wa kujiona kuliko wenzake. Ni kweli ni mchezaji mzuri mwenye jitihada ila misifa imemzidi mno. Ajifunze kwa Onyango hanaga nongwa na mtu japokuwa amekejeliwa sana kuhusu umri wake. Kila anapoingia uwanjani anathibisha kwamba ana miaka 28 badala ya 52 .[emoji12][emoji1].
Aisee!! manaake apo nicheke kwanza 😂😂😆😆 kama wewe Popoma kuu unajiona knowledgeable kuna haja ya serikali kuruhusu wagonjwa wote milembe warudi mitaani.Nasoma posts zako kujua maendeleo yako ya Afya ya akili tokea utoroke milembe niwape mrejesho madaktari cha kushangaza hali yako bado haijabadilika kila siku upopoma unapanda chart.Ambayo inakufanya muda Wote Wewe na adriz pamoja na wale Wapumbavu Wenzenu muwe mnanifuatilia 24/7 hapa JamiiForums lakini mkijua kuwa mnanichukia.
Mimi ndiyo MINOCYCLINE ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person Kudadadeki
Onyango ni matured player. Huwezi kuona akifanya ujinga huo.Sasa yeye ndo alimzuia mayele? Kazi ya kumzuia mayele ilifanywa na onyango kwa kiasi kikubwa lakini kwakuwa linapenda sifa ambazo sio zake kujionyesha ndo lichezaji kuzidi wote pale simba likajifanya lenyewe ndo limemdhibiti ovyo kabisa yule jamaa
Huwez amini ndo jana alikuwa anatetemeka mikono[emoji1][emoji1][emoji1] kweli maisha yana njia zake za kumfunda mtu.Kwahyo ndo umekasirika?View attachment 2199800
Sema una chuki za kindezi snaa we kajamaa ,wakongo in nature wana sifa ,hata mayele Ana sifa Sana tu .Kweli kabisa Huyu fala Bora alivyokosa.. Aliniboa sana mechi ya Simba na Yanga iliyopita alivyokuwa anajinasibu na kujifanya beki kisiki kumzuia Mayele.. wakati Mayele anatoka nje kuingia Makambo akajifanya kumsindikiza Huku akijinadi kuwa nileteeni huyo mwingine..
Leo ndo limefanya Timu isisonge mbele..
Inonga ni fala tu kama mafala wengine dadeq
Labda mamaakeNani anakufatilia?
Tumewekeza kwenye kuloga, ni ushauri wa SIHIO wetu!Simba ni mbovu hata kufuzu imefuzu kimazabe tu!! Simba mechi walipaswa kuimaliza kwa mkapa, bahati mbaya hawana strikers wenye njaa na uchu wa magori....., Haka ka-sakho ndio kabisa kalilewa sifa na vile vigori viwili saizi kanurukaruka uwanjani. Timu imekuwa ya Morrison bila yeye pale mbele ni sawa na kumweka Manara na Ahmed wachambane maana hakuna la maana.
Tunawashauli watani zetu fukuza Boko, Mugalu leta mitu ya kazi ili msimu ujao tuapasuane vizuri saizi hamna TOFAUTI na mbeya kwanza.
Uto bhana.....mnakejeli nini Sasa ?Amesema shida kumzuia? Hizo shombo zake na kujikweza kwake ndo leo vinageuka kuwa kejeli kwake.
Hata sio wawili wapo wengi kuna Might fighter, Kerosene na wengineoMuandiko ni wa genta kabsa hata sauti yako ni yeye mtu. Kweli duniani wawili wawili
Huko fundi la maudhi likiwa linatetemeka kama kuku mwenye newcastle [emoji23][emoji23]Uto bhana.....mnakejeli nini Sasa ?
Hilo linakuumiza Sana wewe mwana Uto...kuliko wenye Simba yao.Sure. Huwa anajiona yeye ndo anafanya kazi kuliko wenzake.