Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Simba ni mbovu hata kufuzu imefuzu kimazabe tu!! Simba mechi walipaswa kuimaliza kwa mkapa, bahati mbaya hawana strikers wenye njaa na uchu wa magori....., Haka ka-sakho ndio kabisa kalilewa sifa na vile vigori viwili saizi kanurukaruka uwanjani. Timu imekuwa ya Morrison bila yeye pale mbele ni sawa na kumweka Manara na Ahmed wachambane maana hakuna la maana.
Tunawashauli watani zetu fukuza Boko, Mugalu leta mitu ya kazi ili msimu ujao tuapasuane vizuri saizi hamna TOFAUTI na mbeya kwanza.
Tunawashauli watani zetu fukuza Boko, Mugalu leta mitu ya kazi ili msimu ujao tuapasuane vizuri saizi hamna TOFAUTI na mbeya kwanza.