Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

Simba ni mbovu hata kufuzu imefuzu kimazabe tu!! Simba mechi walipaswa kuimaliza kwa mkapa, bahati mbaya hawana strikers wenye njaa na uchu wa magori....., Haka ka-sakho ndio kabisa kalilewa sifa na vile vigori viwili saizi kanurukaruka uwanjani. Timu imekuwa ya Morrison bila yeye pale mbele ni sawa na kumweka Manara na Ahmed wachambane maana hakuna la maana.

Tunawashauli watani zetu fukuza Boko, Mugalu leta mitu ya kazi ili msimu ujao tuapasuane vizuri saizi hamna TOFAUTI na mbeya kwanza.
 
Kweli kabisa Huyu fala Bora alivyokosa.. Aliniboa sana mechi ya Simba na Yanga iliyopita alivyokuwa anajinasibu na kujifanya beki kisiki kumzuia Mayele.. wakati Mayele anatoka nje kuingia Makambo akajifanya kumsindikiza Huku akijinadi kuwa nileteeni huyo mwingine..
Leo ndo limefanya Timu isisonge mbele..
Inonga ni fala tu kama mafala wengine dadeq
Kwahyo ndo umekasirika?
20220418_154541.jpg
 
Hilo tukio liliwauma Sana Uto..

Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.

Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Amesema shida kumzuia? Hizo shombo zake na kujikweza kwake ndo leo vinageuka kuwa kejeli kwake.
 
Kabisa point zako zote zina ukweli,na nadhani watu wanaompenda na kumtakia mema mchezaji walitakiwa kukupongeza .Hinonga anahitaji kuonywa na kufanyia kazi madhaifu yake ya ubinafsi wa kujiona kuliko wenzake. Ni kweli ni mchezaji mzuri mwenye jitihada ila misifa imemzidi mno. Ajifunze kwa Onyango hanaga nongwa na mtu japokuwa amekejeliwa sana kuhusu umri wake. Kila anapoingia uwanjani anathibisha kwamba ana miaka 28 badala ya 52 .[emoji12][emoji1].
Sure. Huwa anajiona yeye ndo anafanya kazi kuliko wenzake.
 
Ambayo inakufanya muda Wote Wewe na adriz pamoja na wale Wapumbavu Wenzenu muwe mnanifuatilia 24/7 hapa JamiiForums lakini mkijua kuwa mnanichukia.

Mimi ndiyo MINOCYCLINE ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person Kudadadeki
Aisee!! manaake apo nicheke kwanza 😂😂😆😆 kama wewe Popoma kuu unajiona knowledgeable kuna haja ya serikali kuruhusu wagonjwa wote milembe warudi mitaani.Nasoma posts zako kujua maendeleo yako ya Afya ya akili tokea utoroke milembe niwape mrejesho madaktari cha kushangaza hali yako bado haijabadilika kila siku upopoma unapanda chart.
 
Sasa yeye ndo alimzuia mayele? Kazi ya kumzuia mayele ilifanywa na onyango kwa kiasi kikubwa lakini kwakuwa linapenda sifa ambazo sio zake kujionyesha ndo lichezaji kuzidi wote pale simba likajifanya lenyewe ndo limemdhibiti ovyo kabisa yule jamaa
Onyango ni matured player. Huwezi kuona akifanya ujinga huo.
 
Kweli kabisa Huyu fala Bora alivyokosa.. Aliniboa sana mechi ya Simba na Yanga iliyopita alivyokuwa anajinasibu na kujifanya beki kisiki kumzuia Mayele.. wakati Mayele anatoka nje kuingia Makambo akajifanya kumsindikiza Huku akijinadi kuwa nileteeni huyo mwingine..
Leo ndo limefanya Timu isisonge mbele..
Inonga ni fala tu kama mafala wengine dadeq
Sema una chuki za kindezi snaa we kajamaa ,wakongo in nature wana sifa ,hata mayele Ana sifa Sana tu .
Pia kumbuka wale ni homeboys wanajuana vzr na wanaheshimiana na kutaniana ,hata mayele hakumaind maana anajua na mm Kuna cku ntamlipa kwa vitendo.

Ila mambugila wasiojua mpira yaanaamin ule ni ugomvi Kati yao kumbe wao muda mwingi wapo pamoja viwanja wanacheka wanachat kiroho Sana maana wanajua wamekuja kutafuta pesa tu huku Zaid ni kutafuta attention za washamba km wewe ili muendelee kuamin mnachoamini.

Punguza chuki mpira ni biashara mpira ni burudan .
Narudia Tena wakongo walio wengi wanapenda Sana sifa km wahaya wa Bukoba ila hawamanishi km unavyotaka kulichukulia hili swala
 
Simba ni mbovu hata kufuzu imefuzu kimazabe tu!! Simba mechi walipaswa kuimaliza kwa mkapa, bahati mbaya hawana strikers wenye njaa na uchu wa magori....., Haka ka-sakho ndio kabisa kalilewa sifa na vile vigori viwili saizi kanurukaruka uwanjani. Timu imekuwa ya Morrison bila yeye pale mbele ni sawa na kumweka Manara na Ahmed wachambane maana hakuna la maana.

Tunawashauli watani zetu fukuza Boko, Mugalu leta mitu ya kazi ili msimu ujao tuapasuane vizuri saizi hamna TOFAUTI na mbeya kwanza.
Tumewekeza kwenye kuloga, ni ushauri wa SIHIO wetu!
 
Hata Mkude alikosa Penalty, lakini hajadiliwi anaangaliwa tu Enock.

Kwenye maisha kama mtu hakupendi ni hakupendi tu, hata kama ukifanya mazuri 99 na baya moja basi litafuta mazuri yote uliyowahi kuyafanya.

Kama Penalty mbona hata Ulaya kina Kylian, Messi and Co wanakosa penalty muhimu na mambo yanapita?
 
Umesema kweli kajamaa hadi kalitetema, ujue vijitu vyembamba huwa vina sifa Sana.
 
Back
Top Bottom