Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
shukran Maalim kwa suali lako zuri.Wewe umejuaje kua usemayo ni kweli??
kwahiyo hakuna kazi nyingine huko, ni ngono tu.Usisahau pia kutakuwa na "Eternal Erection"
Nikipitia hayo nitaoneshwa kweli ni ipi au nitatakiwa niipime kwa akili yangu kujua ipi ni kweli na ipi siyo?shukran Maalim kwa suali lako zuri.
Hii ni fani ya kielimu ambayo watu husomea.
Hata weye waweza kuisoma na unaweza kupima ukweli juu na taarifa unazomezeshwa.
Ni fani ktk somo la historia ya falsafa na Sosholojia na kanuni.
Ukitaka kuiendea pitia kwanza uzame ktk maneno haya mawili
1. Orientalism.
2. Occidentalism
Kati
Kati ya Jibril na Muhammad nani aliyetumwa?
Kwa nini prophet Muhammad alioa mtoto wa miaka 9? Alikuwa sahihi? Kama alikuwa sahihi je wewe unaweza kuoa mtoto wa miaka 9?Jibril ni hub
Mohamed ni mtumwa wa MwenyeziMungu
πππZaburi ya Daudi ,torati ya Mussa ndio maana hata hukumu ni zile zileTutafika huko, kwaza jibu kitabu kilichotumiwa na waislam kabla ya kuja Mohammad ni kipi?
Acha kutumia vileo tulia chini usome ,hiyo unayotumia ni biblia ya Donald Trumpth
View attachment 2948296
TUseme Mudi aliiga kipengele hicho ktk kusali ila akataka umaarufu na kupingana naye ktk matendo yake na maneno yake.Acha kutumia vileo tulia chini usome ,hiyo unayotumia ni biblia ya Donald Trumpth
View attachment 2948296
MBona hujaweka injili ya Issah?πππZaburi ya Daudi ,torati ya Mussa ndio maana hata hukumu ni zile zile
Tena wanapambania kinoma waoe vitoto hvyo. Lengo ni bikra 72 walizoahidiwa ili wazianzie huku huku dunianiKwa nini prophet Muhammad alioa mtoto wa miaka 9? Alikuwa sahihi? Kama alikuwa sahihi je wewe unaweza kuoa mtoto wa miaka 9?
Utapata msingi wa njia wanazotumia wabobezi kutunga tahasusi kutengeneza watu wawe na hisia, imani sawa na vile wabobezi wangependa kuwachonga.Nikipitia hayo nitaoneshwa kweli ni ipi au nitatakiwa niipime kwa akili yangu kujua ipi ni kweli na ipi siyo?
Au nitakutana na wahusika halisi kabisa, mambo ya kiimani haya ujue!!!
Mbona sioni hoja zako zaidi ya kejele dogo?π€£π€£TUseme Mudi aliiga kipengele hicho ktk kusali ila akataka umaarufu na kupingana naye ktk matendo yake na maneno yake.
Injili ya issah pia kumbe unajuaMb
MBona hujaweka injili ya Issah?
Unadanganya au haujui.πππZaburi ya Daudi ,torati ya Mussa ndio maana hata hukumu ni zile zile
Sasa Kuna mtu kakufosi uingie kwenye uislam so ubaki na apo unapopaamini watu wengine bhanaa hatuwezi wote kuwa waislam na hatuwezi wote kuwa wakristo.mungu anayeabudiwa pamoja na mjini, si shetani huyo? mungu anayesema kuna majini mazuri na mabaya, ni shetani tu huyo, ndio maana mashehe wenu asipokuwa mshirikina hawezi kuwa shehe, wauza dawa za suna, uganga wa kienyeji, ni dini hii, mungu wenu simtaki.
Mbona sioni hoja zako dogo? Omba ufundishwe acha kumfuata pauloUnadanganya au haujui.
Taarifa juu ya Muhammad kuoa mtoto wa miaka 6, au 9 ni miongoni mwa taarifa bandia alizobebeshwa mtume Muhammad kupitia hadithi bandia.Kwa nini prophet Muhammad alioa mtoto wa miaka 9? Alikuwa sahihi? Kama alikuwa sahihi je wewe unaweza kuoa mtoto wa miaka 9?
Hao manabii wote walishatabiri kuja kwa Yesu na wayahudi walikuwa wanajua Kuna nabii atakayekujaUnamuamini vip yesu ambaye kaja baada ya Mussa, Daudi π π π
Ina maana waliokuwepo kabla ya yesu kuja hawakuwa na dini sio?
Kama walikuwa na dini ilikuwaje? Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.
Waliokuwepo kabla walimuabudu nan? Mtu unasoma vitabu kabla ya yesu yaani zaburi na torat ..ina maana yesu sio wa wa kwanza π π
Wewe umejibu hoja gani hapo?Mbona sioni hoja zako dogo? Omba ufundishwe acha kumfuata paulo
Kwanza kabisa usiende mbali, tuthibitishie ya kuwa Marko, Luka na Mathayo walimuona Yesu.Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....