Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Wewe umejuaje kua usemayo ni kweli??
shukran Maalim kwa suali lako zuri.

Hii ni fani ya kielimu ambayo watu husomea.

Hata weye waweza kuisoma na unaweza kupima ukweli juu na taarifa unazomezeshwa.

Ni fani ktk somo la historia ya falsafa na Sosholojia na kanuni.

Ukitaka kuiendea pitia kwanza uzame ktk maneno haya mawili

1. Orientalism.

2. Occidentalism
 
Nikipitia hayo nitaoneshwa kweli ni ipi au nitatakiwa niipime kwa akili yangu kujua ipi ni kweli na ipi siyo?
Au nitakutana na wahusika halisi kabisa, mambo ya kiimani haya ujue!!!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Kwa nini prophet Muhammad alioa mtoto wa miaka 9? Alikuwa sahihi? Kama alikuwa sahihi je wewe unaweza kuoa mtoto wa miaka 9?
Tena wanapambania kinoma waoe vitoto hvyo. Lengo ni bikra 72 walizoahidiwa ili wazianzie huku huku duniani
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Nikipitia hayo nitaoneshwa kweli ni ipi au nitatakiwa niipime kwa akili yangu kujua ipi ni kweli na ipi siyo?
Au nitakutana na wahusika halisi kabisa, mambo ya kiimani haya ujue!!!
Utapata msingi wa njia wanazotumia wabobezi kutunga tahasusi kutengeneza watu wawe na hisia, imani sawa na vile wabobezi wangependa kuwachonga.

Pia nitakupatia hamu ya kutaka kujua ni kwa jinsi gani kuiendea fani hii kwa ubobezi zaidi ili uweze kutambua misingi na asili ya kila imani.
 
mungu anayeabudiwa pamoja na mjini, si shetani huyo? mungu anayesema kuna majini mazuri na mabaya, ni shetani tu huyo, ndio maana mashehe wenu asipokuwa mshirikina hawezi kuwa shehe, wauza dawa za suna, uganga wa kienyeji, ni dini hii, mungu wenu simtaki.
Sasa Kuna mtu kakufosi uingie kwenye uislam so ubaki na apo unapopaamini watu wengine bhanaa hatuwezi wote kuwa waislam na hatuwezi wote kuwa wakristo.
 
Kwa nini prophet Muhammad alioa mtoto wa miaka 9? Alikuwa sahihi? Kama alikuwa sahihi je wewe unaweza kuoa mtoto wa miaka 9?
Taarifa juu ya Muhammad kuoa mtoto wa miaka 6, au 9 ni miongoni mwa taarifa bandia alizobebeshwa mtume Muhammad kupitia hadithi bandia.

Hapo nyuma nimemjibu msomaji mmoja kuwa pamoja na uislam kutegemea Quran na hadithi. Lkn ni Quran pekee ndio iliyo trusted.

Haighushiki. Lkn hadithi za mtume nyingi zimechakachuliwa.

Maswahaba wengi wamelishwa maneno. Akiwemo huyu aliyepokea hadhithi hii maarifa bandia

Kwa ufupi hadithi zimechakachuliwa kama ilivyochakachuliwa biblia
 
  • Thanks
Reactions: 511
Hii yote ni kwa sababu stori zote za Yesu, Muhammad, Allah, Shetani, Mungu na Miungu ni stori za Uongo.

Wote hao ni Fictional characters.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Unamuamini vip yesu ambaye kaja baada ya Mussa, Daudi 😅😅😅

Ina maana waliokuwepo kabla ya yesu kuja hawakuwa na dini sio?

Kama walikuwa na dini ilikuwaje? Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.

Waliokuwepo kabla walimuabudu nan? Mtu unasoma vitabu kabla ya yesu yaani zaburi na torat ..ina maana yesu sio wa wa kwanza 😅😅
Hao manabii wote walishatabiri kuja kwa Yesu na wayahudi walikuwa wanajua Kuna nabii atakayekuja
 
Mbona sioni hoja zako dogo? Omba ufundishwe acha kumfuata paulo
Wewe umejibu hoja gani hapo?
Usiwe mfinyu wa mawazo kukimbilia kuita avatar dogo, unajua umri wangu?
Kuna sehemu nimemtaja Paul kama unavyosema?
 
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Kwanza kabisa usiende mbali, tuthibitishie ya kuwa Marko, Luka na Mathayo walimuona Yesu.

Kisha tuendelee kuanzia hapo.
 
Back
Top Bottom