Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
shukran Maalim kwa suali lako zuri.Wewe umejuaje kua usemayo ni kweli??
Hii ni fani ya kielimu ambayo watu husomea.
Hata weye waweza kuisoma na unaweza kupima ukweli juu na taarifa unazomezeshwa.
Ni fani ktk somo la historia ya falsafa na Sosholojia na kanuni.
Ukitaka kuiendea pitia kwanza uzame ktk maneno haya mawili
1. Orientalism.
2. Occidentalism