Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Unamwongelea nani hasa? Vunguka.Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
Hakuna kutoboa bila kubebwa ila njia za kubebwa ni tofauti, vijana wengi mjini hawabebeki na hakuna mtu mwenye fursa ya maana atampa kijana mjinga,Ndo mana hutupasi kufaata sana shauri za watu wengi , wanajikuta motivation kumbe nyuma yao walibebwa kwanza.
Yeyote yule aliepata mafanikio kwa connection yaani kubebwa....Unamwongelea nani hasa? Vunguka.
Baba zima limekalia majungu !Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
Kwani na wewe ni miongoni mwa waliopata mafanikio kupitia connection?.....Baba zima limekalia majungu !
Natamani ningepata hizo connection, maana unaweza ishia kuteseka hadi mwisho wa maisha yako… let folks get it how they get it!Kwani na wewe ni miongoni mwa waliopata mafanikio kupitia connection?.....
Unaweza ukatoboa bila kubebwa, Mungu yupo mkuu.Hakuna kutoboa bila kubebwa ila njia za kubebwa ni tofauti, vijana wengi mjini hawabebeki na hakuna mtu mwenye fursa ya maana atampa kijana mjinga,
Lucky come when opportunities meet preparation
Anashindwa kujua kuwa ili uweze kufanikiwa Mungu( kwa wale wa Imani) huwa analeta watu wa Hatma yako( connection) ili waweze kukuvusha kukupeleka kwenye baraka zako! Baada ya hao watu kutokea basi watakufundisha na kukuacha ujisimamie mwenyewe kwa uwezo wa Mungu.Mkuu hakuna aliye wahi kuji beba mwenyewe, hiyo connection ni Kama msaada waweza kuwa wa mali, ushauri au hata kazi.
na kitu kidogo kina weza kuwa turning point kwenye maisha yako, jiongeze nawe uta ongezewa.
hakuna Raha kuwa kwenye the right cycle ya watu makini, maisha bila connection haya endi.