Kumbe wana roho ngumu kweli kweli, pole mkuu.Huwez kuanzisha Conversation nae
Sio maneno yangu mkuu...ni ya dada mmoja huko nyuma.Daby bhana...eti "Wajinga wajinga" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
la moyoni hili [emoji23]Teh teh hongera mkuu.
Wajinga wajinga tumefungiwa.
Mondray umemaanisha nn hapoYeye mbona anatama kwa wangine.
Hutuka Wewe
Tehteh unataka kufukua vifukizwa wewe.la moyoni hili [emoji23]
Ahaa kumbe ndio yule aliosema ana watu wa3 tu aliowaruhusu PM? Dinazarde i thinkSio maneno yangu mkuu...ni ya dada mmoja huko nyuma.
Nahisi ndiyo huyo.Ahaa kumbe ndio yule aliosema ana watu wa3 tu aliowaruhusu PM? Dinazarde i think
Bibie asa mbona nmekuta mageti yote yamefungwa,na mlinzi naye amegoma kuniruhusu niingiekumbe n ww uliyeuliza [emoji23] karibu sana pm kwangu kupo wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Sipo kwenye watatu na hata kwenye wajinga² coz sijawahi na sijafikiria kum-PMNahisi ndiyo huyo.
Upo kwenye watatu au kwenye wajinga wajinga?
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kujitoa kwenye wajinga umeamua kujipa moyo bhana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Sipo kwenye watatu na hata kwenye wajinga² coz sijawahi na sijafikiria kum-PM
naomba niongeze na mieHata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
MmhBibie asa mbona nmekuta mageti yote yamefungwa,na mlinzi naye amegoma kuniruhusu niingie
[emoji23][emoji23][emoji23]Tehteh unataka kufukua vifukizwa wewe.
Eeeh la moyoni kweli. Ila sasa hata ukiacha wazi nitakuja kufanya nin?
Nishatuma nina mwezi sasaTuma barua ya maombi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nipo kwenye utafiti wa sababu zinazofanya mfunge avatarAntonio mbona unabadilisha avatar sana [emoji23] kupo wazi
Sio najipa moyo..ndio ukweli mtupu huo ndugu yangu....Ningekuwa mjinga² usingeona nachangia mada hii....[emoji23][emoji23][emoji23]. Kujitoa kwenye wajinga umeamua kujipa moyo bhana.
Hahaha