Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Sipo kwenye watatu na hata kwenye wajinga² coz sijawahi na sijafikiria kum-PM
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kujitoa kwenye wajinga umeamua kujipa moyo bhana.

Hahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kujitoa kwenye wajinga umeamua kujipa moyo bhana.

Hahaha
Sio najipa moyo..ndio ukweli mtupu huo ndugu yangu....Ningekuwa mjinga² usingeona nachangia mada hii....

Ila kunyimwa kuingia PM na kuitwa Mjingamjinga Yataka moyo [emoji81] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom