Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

Mosi, DSTV haina wafuasi wengi...

Pili, hao kina Mpoki hawana kitu kipya...

Tatu, soko tayari limeshakuwa na kina Mpoki wengi...
Dstv ina watumiaji wengi
 
Hii ya kisoma kama habari inawangusha sana ,kitimutimu inafuatiliwa sana
 
Ujio wa vingamuzi umegawanya sana viewers...
 
Reactions: RNA
Umemaliza kila kitu
 
Kuwa star maarufu kujulikana kupendwa kufatiliwa nk yote hayo ni mambo marahisi na mepesi sana, ishu ni kumaintain hiyo status hapo ndipo penye kipengele.

Original Comedy bila JOTI hamna kitu,hamna mchekeshaji pale ni sawa na yamoto Band bila Aslay. Kingine ukitoa kasoro zingine Kipindi kuwa DSTV tu ni tatizo.

DSTV ni zamani sio sasa, DSTV imebaki kwenye mabanda ya mpira tu Majumbani kumejazana ma Azam na wenzao kina star times.
 
Reactions: RNA
Mkuu watumiaji wa Dstv tuko wengi ila nao hawafuatilii hicho kipindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…