Ukweli upi uliofichwa? WAFUASI WA YESU HAWATEGEMEI KUSOMA VIPANDE VYA KARATASI ILI WAJUE HILI NI JEMA NA HILI SIO JEMA! YESU AMETUFUNDI MEMA NA MAOVU KUPITIA DHAMIRA NJEMA ALIYO TUUMBIA NDANI![emoji106] Tofauti sana na nyinyi waisilamu ili kujua ZINAA NI UOVU hadi usome vipande vya karatasi [emoji12] ndipo ibilisi [emoji83]Alipo wapata kwa KUCHANGANYA KWELI YA MUNGU NA KWELI YAKE KUWATUPIA KWENYE KARATASI NA NA YOOTE MKAPOKEA KUWA NI KWELI YA MUNGU[emoji12] ref; suratul muuminun.1-6 sita uone ibilisi ALIVYO RUHUSU ZINAA KWA KIPUNJO [emoji44][emoji12] nikuulize jee HAO UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO??Kuficha ukweli
Mbona unatuletea story za vijiweni? Humu hakuna Habari za kusikia,. leta reference ukweli ujulikane.1. Kuficha maarifa.
Vitabu vingi vilitolewa/havikuwekwa kwenyr biblia kwa lengo la kuwafanya watu walio wengi kuwa wafuasi wa watu wengine kwa kuwa kama vyote vingewekwa bayana, kweli ingejulikana na kila mtu, kwa hiyo asingejuwepo yeyite ambaye angefunga safari ya kwenda kanisani kumsikiliza mchungaji. Mtu kama mtume paulo alikuwa msomi, nasikia alikuwa mwanafunzi wa aristotle (naomba kurekebishwa kama nimekosea hapa). Mtume paulo aliandika vitu vingi sana kinaga ubaga kiasi cha watu kuhofia kuwa watu hawatakuwa ni wenye kutii mamlaka kama maandiko yake yote yatawekwa wazi.
2. Kulinda heshima ya baadhi ya watu wa Mungu
Kuna rafiki yangu mmoja anasoma theolojia aliniambia kuwa kuna vitabu ambavyo havipo kwenye biblia vinaeleza mabaya/mapunhufu ya mitume/wafalme/manabii ambayo kama yakiwa wazi watu watapunguza imani yao kwa watu hao na Mungu. Kwa mfano, wote tunajua kuwa daudi alikuwa mzinzi, lakini kuna vitabu vinaenda mbali zaidi na kusema kuwa aliwahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Pia injili ya tomaso kama sikosei, inaeleza kuwa yesu wakati akiwa mdogo aliwahi mpiga mtoto wa jirani hadi kumuua. Pia injili ya mke wa yesu (maria magdalene) inaonyesha ni jinsi gani yesu alioa na kupata watoto na kanisa aliachiwa maria magdalene na sio perto kama tujuavyo sasa.
Kwa hiyo mambo kama haya kama yangekuwa wazi kabisa sidhani kama kuna mtu angekuwa anasumbuka na dini
3. Kulinda maslahi binafsi.
Wale walioandaa hii biblia ni wanadamu na walikuwa na malengo yao fulani fulani mbali na hili la kuweka wazi uwepo wa nguvu ya mungu kati yetu. Kwa hiyo kuna namna ambayo huenda walitumia kuondoa baadhi ya vitu ili kulinda maslahi yao.
N.B. Sina utaalam/ujuzi/maarifa/elimu kuhusu mambo ya dini wala biblia.
Kikubwa mkuu Mambo ya biblia na madhehebu hayakusaidii kitu wewe pambana kumtafuta mungu kama kweli yupo
Ndugu yangu, Je unaelewa maana ya neno BINAFSI? Kuamini unachoamini ni hiari yako mkuu..! Ndio maana unaweza kuamini unachochagua wewe? Ndio maana nikasema ni suala Binafsi, yaan linategemea na Uamuzi wako.Aidha, dini inakuwaje jambo binafsi ikiwa watu ni uzao?
Ndugu yangu unaongea kwa kashfa sana na si Ustaarabu;Kwanini Papa wa Kikatoloki alitoa amri Martine Ruther auwawe na ahesabiwe kama mnyama?
Katoliki ni dhehebu la kishetani wanamwabudu mungu wa kipagani.
Ndio maana ukiwa Mkatoliki hurusiwi kuhoji wala nini unatakiwa kukubaliana na maelekezo ya miungu (Mapadri)
1. Kuficha maarifa.
Vitabu vingi vilitolewa/havikuwekwa kwenyr biblia kwa lengo la kuwafanya watu walio wengi kuwa wafuasi wa watu wengine kwa kuwa kama vyote vingewekwa bayana, kweli ingejulikana na kila mtu, kwa hiyo asingejuwepo yeyite ambaye angefunga safari ya kwenda kanisani kumsikiliza mchungaji. Mtu kama mtume paulo alikuwa msomi, nasikia alikuwa mwanafunzi wa aristotle (naomba kurekebishwa kama nimekosea hapa). Mtume paulo aliandika vitu vingi sana kinaga ubaga kiasi cha watu kuhofia kuwa watu hawatakuwa ni wenye kutii mamlaka kama maandiko yake yote yatawekwa wazi.
2. Kulinda heshima ya baadhi ya watu wa Mungu
Kuna rafiki yangu mmoja anasoma theolojia aliniambia kuwa kuna vitabu ambavyo havipo kwenye biblia vinaeleza mabaya/mapunhufu ya mitume/wafalme/manabii ambayo kama yakiwa wazi watu watapunguza imani yao kwa watu hao na Mungu. Kwa mfano, wote tunajua kuwa daudi alikuwa mzinzi, lakini kuna vitabu vinaenda mbali zaidi na kusema kuwa aliwahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Pia injili ya tomaso kama sikosei, inaeleza kuwa yesu wakati akiwa mdogo aliwahi mpiga mtoto wa jirani hadi kumuua. Pia injili ya mke wa yesu (maria magdalene) inaonyesha ni jinsi gani yesu alioa na kupata watoto na kanisa aliachiwa maria magdalene na sio perto kama tujuavyo sasa.
Kwa hiyo mambo kama haya kama yangekuwa wazi kabisa sidhani kama kuna mtu angekuwa anasumbuka na dini
3. Kulinda maslahi binafsi.
Wale walioandaa hii biblia ni wanadamu na walikuwa na malengo yao fulani fulani mbali na hili la kuweka wazi uwepo wa nguvu ya mungu kati yetu. Kwa hiyo kuna namna ambayo huenda walitumia kuondoa baadhi ya vitu ili kulinda maslahi yao.
N.B. Sina utaalam/ujuzi/maarifa/elimu kuhusu mambo ya dini wala biblia.
[l/QUOTE]
Daaaah! Mkuu nimechoka akili. Mke wa Yesu tena?
Hao watoto wako wapi alio zaa naye
huyo mke? Au ni mimi hapa babu yangu alikuwa huyo?
Kumbe ndo maana ulaya makanisa yakotupu.wanaishi panya.
Hawatapata mutu hapa nasema subiri.
Hakuna KILICHO fichwa bro!1. Kuficha maarifa.
Vitabu vingi vilitolewa/havikuwekwa kwenyr biblia kwa lengo la kuwafanya watu walio wengi kuwa wafuasi wa watu wengine kwa kuwa kama vyote vingewekwa bayana, kweli ingejulikana na kila mtu, kwa hiyo asingejuwepo yeyite ambaye angefunga safari ya kwenda kanisani kumsikiliza mchungaji. Mtu kama mtume paulo alikuwa msomi, nasikia alikuwa mwanafunzi wa aristotle (naomba kurekebishwa kama nimekosea hapa). Mtume paulo aliandika vitu vingi sana kinaga ubaga kiasi cha watu kuhofia kuwa watu hawatakuwa ni wenye kutii mamlaka kama maandiko yake yote yatawekwa wazi.
2. Kulinda heshima ya baadhi ya watu wa Mungu
Kuna rafiki yangu mmoja anasoma theolojia aliniambia kuwa kuna vitabu ambavyo havipo kwenye biblia vinaeleza mabaya/mapunhufu ya mitume/wafalme/manabii ambayo kama yakiwa wazi watu watapunguza imani yao kwa watu hao na Mungu. Kwa mfano, wote tunajua kuwa daudi alikuwa mzinzi, lakini kuna vitabu vinaenda mbali zaidi na kusema kuwa aliwahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Pia injili ya tomaso kama sikosei, inaeleza kuwa yesu wakati akiwa mdogo aliwahi mpiga mtoto wa jirani hadi kumuua. Pia injili ya mke wa yesu (maria magdalene) inaonyesha ni jinsi gani yesu alioa na kupata watoto na kanisa aliachiwa maria magdalene na sio perto kama tujuavyo sasa.
Kwa hiyo mambo kama haya kama yangekuwa wazi kabisa sidhani kama kuna mtu angekuwa anasumbuka na dini
3. Kulinda maslahi binafsi.
Wale walioandaa hii biblia ni wanadamu na walikuwa na malengo yao fulani fulani mbali na hili la kuweka wazi uwepo wa nguvu ya mungu kati yetu. Kwa hiyo kuna namna ambayo huenda walitumia kuondoa baadhi ya vitu ili kulinda maslahi yao.
N.B. Sina utaalam/ujuzi/maarifa/elimu kuhusu mambo ya dini wala biblia.
Kwahiyo hivyo vitabu unavyotaka tukavisome vimeshushwa au vimeandikwa na wanadamu kama Mimi na wewe,Mtoa post nimpotoshaji mkubwa ningekuona ningekuhukumu kwa Sheria ya Mussa kukufungia jiwe jiwe la kilo 70 shingoni nakukutumbukiza baharini.
Sasa nakujibu Mnamo mwaka 333 kabla ya kuzaliwa Yesu nchi ya Palestina (Israeli) ilitawaliwa ns Wagiriki.Iliopopita miaka 70 yaani mwaka 403 Ndipo ilitolewa tafsiri ya kwanza ya torati na vitabu vya manabii katika lugha ya Kiyunani(Kigiriki).
Tafsiri hiyo iliitwa SEPTUAGINT,viliingizwa vitabu 11 ambavyo havikuwa katika orodha rasmi ya maandiko matakatifu ya Wayaudi wa Parestina.Vitabu hivyo vya nyongeza vilikuwa vimetafsiriwa kuanzia mwaka wa 363 ikiwa nimiaka 30 wa utawala wa Kagiriki na vilitokea Iskanderia (Alexanderia) ambavyo vilikuwa vikitumiwa na watu waliojiita Wayahudi.Kuingizwa vitabu hivyo kwenye SEPTUAGINT kulifanya Wayahudi waitishe mkutano mkuu wa wazee 70 wa Palestina.
Kikao kile kilijadili suala la maandiko ya Iskanderia yasiyokuwa matakatifu kuingizwa kwenye SEPTUAGINT ya Palestina.
Kikao hicho kijulikanacho kwa jina la Canon na ndicho kilichoviondoa vitabu 11 vya Iskanderia nakuvithibitisha kuwa ni batili.
Swari apo Martine Ruther alikua ameishazaliwa?
Kwamujibu wa maelezo ya Padre J.Bouguet des Chaux mwandishi wa kitabu cha JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU,mnano karne ya 5 baada ya Yesu Kristo yahani karibu miaka 700 ya mkutano mkuu Canon,Papa Augustno aliamua aliamua kuongeza vitabu 6 kati ya vile 11 vya Iskanderia vilivyoondolewa na wazee 70 katika agano la kale.
Miaka 1,000 baadaye (1546) uamuzi wa Papa Augustino ulipata kibali rasmi kwenye mkutano mkuu wa Maaskofu wa kanisa Katoliki mjini trent-Uingereza bila kuwashirikisha wale wazee sabini wa Kipalestina.Lakini wale wazee hawakukata tamaa kufuatia matengenezo ya kanisa (Reformation) Vitabu hiyvo viliondolewa tena na ndipo palipotokea mpasuko wa Kiprotestanti ambao hadi leo wanaitambua orodha rasmi ya vitabu vya Wayahudi wa Palestina tu nakuvichukulia vile 6 viloongeza na Papa Austino kuwa ni batili.
Kwakumbukumbu sahii kati ya mwaka 93 hadi 130 baada ya Yesu viliandikwa vitabu vingine vingi ambavyo navyo vilionekana batili .kimojawapo kilifahamika kwa jina la Protevangelium, nyaraka za Clement,Iginatius,na Polycarp ambavyo vyote havikuruhusiwa kuingizwa ata kama maandiko kadhaa yalifanana na nyaraka sahii za Biblia lakini havikuwa maandiko matakatifu kwamaana tuipotayo 2Petro1:20-21.
Kwahiyo Martine Ruther alisimamia alichokikuta siokweli kwamba alifukuzwa kwasababu ya kuondoa maandiko matakatifu.Wakatoliki kwa hofu yakupinduliwa waliongeza vitabu hivyo vya sheria zao ambavyo mpaka leo Makasisi Mapadre,Maaskofu Makardinal na Papa wanajua hili na ndonapaswa kuulizia kwanini wanaendelea kushikilia vitabu batili wakijua kuwa sio sahii?
Mwisho:Tafuta kitabu kiitwacho Je nabii issa ndiye YESU KRISTO? na kingine kiitwacho Jifunze Biblia Takatifu
Usome kwa faida ya ubongo wako.
Ulitaka anywe alkasusu au?Hata malaika huwa wanashangaa kwa kweli padre anapiga windok