Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Mbona huulizi kanisa la Orthodox la Ethiopia lina vitabu 81 katika biblia yakeKwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?
Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Nilikuwa sijui, ndio nimejua sasa lina vitabu zaidi hata ya Wakatoliki!Mbona huulizi kanisa la Ethiopia ambalo limekuwa na ukristo miaka na mingi lina vitabu 81 katika biblia yake
Vitabu ni vingi sana ni suala la kuamua tu tuchukue vingapiKwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?
Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Ukiifata dini nikawaida kupigwa vita. Hakuna mtu atakupenda. Kwahiyo hiki ulichoandika nijambo la kawaida mkuuNdio maana waprostestant ni jamii ya wakristo wa hovyo kupata kutokea , hawa ndio sampuli inayojambiwa mpaka mdomoni na mapasta wao
Smoke Buddah - RedmanKwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?
Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Siyo hilo tu kuna mormons wana vitabu 71Nilikuwa sijui, ndio nimejua sasa lina vitabu zaidi hata ya Wakatoliki!
KIfupi watu ni wavivu wa kusomaHizi mambo nakumbuka kipindi wakina Eiyer, Juve2012, Da Vinci, Zitto Jr, C.T.U, n.k watu walikuwa wanatoa hoja siyo mchezo sasa hivi ukijibu hapo mkuu watu waanza matusi badala ya hoja mtu biblia kaisoma juu juu hajui chanzo kulikuwa vipi , matoleo yapoje , historia ya kanisa , kipindi cha matengenezo, mchango wa Martin na uprotestant, Baraza la Nicea na uamuaji wa mpangilio wa vitabu, Sasa mtu dhehebu la miaka ya 1800's ndiyo vinashupaza shingo mno kujiona vyenyewe dhehebu lao ndiyo lina ticket ya moja kwa moja mbinguni.
Na kitabu hicho hicho kinakupa ufafanuzi kabisa ipi ni dini ya kweli.
Mormons wana Biblia mbili,Siyo hilo tu kuna mormons wana vitabu 71
Hakuna cha kupigwa vita , unajambiwaje mdomoni ukiaminishwa ni upako aseeUkiifata dini nikawaida kupigwa vita. Hakuna mtu atakupenda. Kwahiyo hiki ulichoandika nijambo la kawaida mkuu
The Kingdom of God is within youKIfupi watu ni wavivu wa kusoma
Unakuta mtu anabishana kuhusu Bible na hajawahi hata kusoma vitabu 10 tu
Anyway
Kuhusu vitabu mbona vipo vutabu zaidi ya elfu 5, letters , manuscripts, books.
Na kwa nini usome vitabu 73 au 66 tu? Kuna injili kibao ambazo haziko kwenye Bible kama Gospel of Thomas, nk
Mbona huzungumzii Biblia ya Ethopia ina vitabu 83?
Rome kuna vitabu vingi sana wanavificha. Walituma watu kukusanya vitabu vingi duniani ili kuhidhi knowledge
Mungu yupo, siri kubwa ya mwanadamu ipo, ukisoma Bible hizi ziko so much edited huwezi ona kama huna maarifa na hekima.
achana na habari za makasina, misikiti. Mungu yuko ndani yako wewe
Kwani hivyo vitabu siyo vya biblia? Inakuwaje biblia haiungi mkono vitabu vyake yenyewe?Kwa sababu biblia haiziungi mkono!
Ukiongelea tofauti ya idadi ya vitabu, moja kwa moja unakuwa unaongelea vitabu vya Tobiti, Yudithi, Hekima, Siraki, Baruku, 1 Wamakabayo na 2 Wamakabayo. Hivi ni vitabu vinavyopatikana katika Biblia ya Kikatoliki lakini havimo katika Biblia nyingi za Kiprotestanti.Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?
Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Wewe una uhakika gani hivyo vitabu 66 ndivyo sahihi?Kwa sababu biblia haiziungi mkono!
Sema nilivyo visoma ndiyo nikajua kwa nini kwenye madhehebu mengine kwenye biblia zao havipoKwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?
Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Hapana mkuu!Shida gani?
Wewe ukisoma cha kwako haukielewi?
Au wote waongo, ila haiwezekani wote wakawa sahihi.Lazima kuna mmoja ni muongo kati ya wote!
Ulijua sababu ni nini ?Sema nilivyo visoma ndiyo nikajua kwa nini kwenye madhehebu mengine kwenye biblia zao havipo
Fafanua paragraph 1 na 5KIfupi watu ni wavivu wa kusoma