Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Tesla ndio dominant car brand ijayo kwa miaka mingi.Naona Tesla anakimbiza sana
Tesla amechagua segment moja.Naona Tesla anakimbiza sana
Kwa miaka mingi UK walikuwa wanapenda Volkswagen hata hivyo naona bado wanapenda hata kama Tesla anaongoza.
Urabuni huwa gari yao ni Ngamia V8 kama unataka gari yao basi agizaUarabuni huwa wanatengeneza gari gani?
Nataka niagize gari moja kutoka huko?
Waingereza hawapendi hata nchi yao, ndo kisa cha wao kuwa na himaya kubwa ya makoloni duniani. Walikuwa wanafanya kila namna kuondoka nchini Uingereza, wakajikuta wanagundua mengi duniani, ikiwemo uwepo wa jamii zilizo nyuma kimaendeleo kwenye mabara mengine zinazoweza kutwaliwa na kutawaliwa.Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza.
Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure Electric, pure Petrol ama hybrid cars Land Rover haipo.
Wataalamu, mnaweza kutusaidia kujua sababu ya waingereza kutokupenda magari yao?
View attachment 2472266View attachment 2472267
Sio amekuja wakati trend ya dunia ni kununua magari ya umeme...Yeye ndo ameileta hiyo trendTesla amechagua segment moja.
Uzuri amekuja wakati trend ya dunia ni kununua electric vehicles.
Yaaaaah!!!! Ni sahihi kabisaa mkuu hiyo kampuni ni kama ToyotaVolkswagen ndiyo kama Toyota kwetu kwa ya Ulaya!
Ooh, basi nimekupata mkuu.Land Rover ni kampuni ndogo sana ukilingalinisha nyingine hata engine tu huwa hawana nzuri na hununua kwingine kwa mfano Range Rover V8 Engine ni ya BMW, Jaguar nao hivyo hivyo, …
Sio amekuja wakati trend ya dunia ni kununua magari ya umeme...Yeye ndo ameileta hiyo trend
ila tatizo hajatengeneza full luxury
Tesla wanasema wana redefine super cars Duniani.
Watu wanakurupuka kujibu tu. Uko sahihi. Kingine Land rover asilimia kubwa ni gari za gharama. Raia wengi ni tabaka la kati na chini hivyo gari nyingi Uingereza na dunia nzima ni tabaka la chini na kati.Waingereza wengi ni watumiaji wa gari ndogo na sio SUV,sasa Landrover gari zake zote ni SUV,kule uingereza kuna gari kama Austin,Jaguar,Vauxhal n.k.ndizo zinazotumika sana...
Hii hoja haina mashiko.Watu wanakurupuka kujibu tu. Uko sahihi. Kingine Land rover asilimia kubwa ni gari za gharama. Raia wengi ni tabaka la kati na chini hivyo gari nyingi Uingereza na dunia nzima ni tabaka la chini na kati.
Hakuna nchi duniani ambako Range rover au Land cruiser ni nyimgi kuliko magari madogo ya chini.
Gari za Land rover ni hizi
Range rover
Discovery
Evoque
Jaguar aina zote
Discovery
Utaona zote ni tabaka la juu.
Gari za tabaka la chini UK ni Vauxhall,rover,Ford models fulani etc hizi zimejaa kibao mitaani UK
Jamaa hadi cab na uber wanatumia Tesla!Naona Tesla anakimbiza sana