Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

Kununuliwa kwingi au kidogo sio umaarufu..
Umaarufu ni kujulikana..
Hakuna Mwingereza asiyeijua LandRover..!

1. McLaren
2. Rolls Royce
3. Aston Martin
4. Bentley
Hizo zote kampuni za kiingereza na hazipo kwenye list..

Waingereza nao wengi wao ni choka mbaya.. Wananunua BMW Mini.. Sio rahisi kitu Expensive then kikawa top kwenye list..!
 
Hii hoja haina mashiko.
Mbona SUV ya magari mengine za gharama nyingi tu zinaonekana barabarani hata hapa Tanzania.

Halafu kwa mfano, Evoque sio large suv kama range, ni mid sized suv za daraja a kati, mbona hazionekani mtaani nyingi.
Ni SUV zipi hizo za makers wengine unaziona kwa wingi barabarani?
 
No chance, Musk kaua brand kwa siasa zake za kipuuzi
Siasa gani? Nini nimekufa?

Unaweza kuja na takwimu kuhalalisha hoja yako?

Kama ni kuanguka kwa hisa za tesla, hapa inabidi ujenge hoja vizuri, uinyeshe kwamba hisa za makampuni ya magari yote hazikuanguka ila za tesla pekee.

Karibu.
 
Hii hoja haina mashiko.
Mbona SUV ya magari mengine za gharama nyingi tu zinaonekana barabarani hata hapa Tanzania.

Halafu kwa mfano, Evoque sio large suv kama range, ni mid sized suv za daraja a kati, mbona hazionekani mtaani nyingi.
Sasa évoque si range pia ua unamaanisha nini unaposema kama range
 
Siasa gani? Nini nimekufa?

Unaweza kuja na takwimu kuhalalisha hoja yako?

Kama ni kuanguka kwa hisa za tesla, hapa inabidi ujenge hoja vizuri, uinyeshe kwamba hisa za makampuni ya magari yote hazikuanguka ila za tesla pekee.

Karibu.
Not about shares, kama unafuatilia politics za US utaelewa nilichoandika, amewaudhi sana wanunuzi wake wakubwa (liberals) na wengi wameapa hawatanunua tena TESLA , data soon zitajionyesha
 
Nadhani ni preference za consumers

Mfano hapa bongo kuna local beer ya kilimanjaro na foreign beer kama Heineken

Sasa mm kama napenda Heineken siwezi kununua Kilimanjaro hata kama inazalishwa hapa nchini

The same applies kwenye hiyo issue ya Land rover,mtu anayeikubali BMW X6 hawezi kununua Range rover hata kama zinazalishwa nchini kwake
 
Hii hoja haina mashiko.
Mbona SUV ya magari mengine za gharama nyingi tu zinaonekana barabarani hata hapa Tanzania.

Halafu kwa mfano, Evoque sio large suv kama range, ni mid sized suv za daraja a kati, mbona hazionekani mtaani nyingi.
Haina mashiko kwasababu hata kusona kwako ni shida. Nimetoa mfano nikasema hakuna nchi duniani range rover au land cruiser ni nyingi kuliko gari za chini. Dunia nzima wateja wengi wa magari ni tabaka la Kati na chini.
 
Back
Top Bottom