Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

Gari ambalo huwezi kuosha injini hadi mzoefu, after all huwezi linganisha VX na hilo gari. Tatizo kubwa watu wananunua Magari yaliyotengenezwa miaka 20 iliyopita unalinganisha na la miaka ya sasa. Utainjoi gari kama limetengenezwa miaka 3 yaani 2020 ingawa bei imesimama na ushuru pia umekakamaa
Unaosha engine ugundue nini?
 
Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza.

Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure Electric, pure Petrol ama hybrid cars Land Rover haipo.

Wataalamu, mnaweza kutusaidia kujua sababu ya waingereza kutokupenda magari yao?
View attachment 2472266View attachment 2472267
Tatizo magari yao yamekaa ki Ambulance sana.
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom