Ni SUV zipi hizo za makers wengine unaziona kwa wingi barabarani?Hii hoja haina mashiko.
Mbona SUV ya magari mengine za gharama nyingi tu zinaonekana barabarani hata hapa Tanzania.
Halafu kwa mfano, Evoque sio large suv kama range, ni mid sized suv za daraja a kati, mbona hazionekani mtaani nyingi.
Ford, VW, Toyota, Nissan, Audi hapa Bongo tu ni nyingi.Ni SUV zipi hizo za makers wengine unaziona kwa wingi barabarani?
Huko agiza TENDE na KANZUUarabuni huwa wanatengeneza gari gani?
Nataka niagize gari moja kutoka huko?
RR miyeyusho tu. Gari lina masharti mengiNazipenda Discovery na Ranger Rover
No chance, Musk kaua brand kwa siasa zake za kipuuziTesla ndio dominant car brand ijayo kwa miaka mingi.
Miaka 10 ijayo utaanza kuona mabasi ya Tesla, maroli ya tesla, kila kitu itakuwa Tesla.
Siasa gani? Nini nimekufa?No chance, Musk kaua brand kwa siasa zake za kipuuzi
Sasa évoque si range pia ua unamaanisha nini unaposema kama rangeHii hoja haina mashiko.
Mbona SUV ya magari mengine za gharama nyingi tu zinaonekana barabarani hata hapa Tanzania.
Halafu kwa mfano, Evoque sio large suv kama range, ni mid sized suv za daraja a kati, mbona hazionekani mtaani nyingi.
Nilimaanisha size, ni mid sized suv sio large suv kama baba yake😂.Sasa évoque si range pia ua unamaanisha nini unaposema kama range
Mkuu hata kwa watasha huko UK, US nk?Hiyo land rover is expensive car sio kila mtu anaweza miliki
Sawa mkuu!Ford, VW, Toyota, Nissan, Audi hapa Bongo tu ni nyingi.
Not about shares, kama unafuatilia politics za US utaelewa nilichoandika, amewaudhi sana wanunuzi wake wakubwa (liberals) na wengi wameapa hawatanunua tena TESLA , data soon zitajionyeshaSiasa gani? Nini nimekufa?
Unaweza kuja na takwimu kuhalalisha hoja yako?
Kama ni kuanguka kwa hisa za tesla, hapa inabidi ujenge hoja vizuri, uinyeshe kwamba hisa za makampuni ya magari yote hazikuanguka ila za tesla pekee.
Karibu.
Haina mashiko kwasababu hata kusona kwako ni shida. Nimetoa mfano nikasema hakuna nchi duniani range rover au land cruiser ni nyingi kuliko gari za chini. Dunia nzima wateja wengi wa magari ni tabaka la Kati na chini.Hii hoja haina mashiko.
Mbona SUV ya magari mengine za gharama nyingi tu zinaonekana barabarani hata hapa Tanzania.
Halafu kwa mfano, Evoque sio large suv kama range, ni mid sized suv za daraja a kati, mbona hazionekani mtaani nyingi.
Tofauti ni number tuu thamani ipo pale paleMkuu hata kwa watasha huko UK, US nk?
Hata waarabu wenyewe na mafuta yao sioni kama wanazipendelea