Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

Haina mashiko kwasababu hata kusona kwako ni shida. Nimetoa mfano nikasema hakuna nchi duniani range rover au land cruiser ni nyingi kuliko gari za chini. Dunia nzima wateja wengi wa magari ni tabaka la Kati na chini.
Inawezekana kweli mimi kusoma ni shida ila wewe kuelewa ndio tatizo kubwa zaidi.

Nimekupa mfano ulioutoa mwenyewe wa R. Evoque, hii mi mid sized suv hivyo ni suitable kwa middle class, mbona hata kwa hao middle class hiyo gari maarufu kama suv nyingine za kampuni nyingine za middle class?

Kama unajua kusoma, jitahidi uwe unaelewa basi unachokisoma.
 
Tesla ndio dominant car brand ijayo kwa miaka mingi.

Miaka 10 ijayo utaanza kuona mabasi ya Tesla, maroli ya tesla, kila kitu itakuwa Tesla.
Mwenyewe ameshasema it won't take us long before seeing these petroleum vehicles like we viewed steam Engine train and cars. Kumbuka zamani ilikuwa Ni cart inavutwa na horse mpaka wakaipa si unit y horse power kwa Mana nguvu fulani ya farasi. Mana jamaa walimtumia farasi miaka iyo before christ
 
Umeshinda mkuu.
 
Jengaa hii
 
Na wewe uko sahihi kwa kiasi kama tutaangalia Gharama, kingine Waingereza/Europe kwa asilimia kubwa they don't need private cars kwa sababu miundombinu yao na public transport is cheap and accesable tofauti na Nchi za mabara mengine
 
Hao middle class wanaweza inunua sawa ila msala kwenye kuihidumia, ndio maana hainunuliwi sana maana gharama za huduma ni kubwa ukilinganisha na kampuni zingine, nadhani hapo ndio umeshindwa muelewa.

Ndio maana hata hapa bongo wenye vipato vya kati wachache walio nazo lazima wana gari nyingine ya ziada ikitokea io range imeroga na wanatoka nazo mara moja moja sana.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Rover haikutengenzwa ili kuuzwa kwa wingi (in masses), Range ni gari ya luxury kwa ajiri ya watu wenye pesa (not for everyone), ni kama useme ferrari mbona haiuzi kama Toyota, hata land rover ambazo sio Range nazo ni very expensive pia
Aisee hapo kwenye mass production umeyumba.. Defenders kibao zimejaa mpaka vijijini.. Magereza.. Mandolin gari za breakdown Landrovers.. Disco zimejaa.. Madungu jeshi..!
 
Waingereza wengi sio tabaka la juu hivyo wana hulka ya kuwa na ubahili fulani hususani kwenye suala la usafiri ukilinganisha na marekani ambapo ni suala la kawaida kuwa na gari yenye V8 engine. Na ndio maana waingereza wengi waliamua kuondoka uingereza na kwenda kutafuta maisha kwingineko duniani. Na hivi karibuni kumekuwa na trend ya waarabu kununua biashara na maeneo mengi huko uingereza na kupelekea wao kuishi expensive life tofauti na waingereza.
 
Kama waingereza wengi ni tabaka la kati na chini basi tulidanganywa kwerikweri,
 
Naona wengi wanakwepa kusema hili.. Wenyewe tu wanaziona ni jipu.
Gari ambalo huwezi kuosha injini hadi mzoefu, after all huwezi linganisha VX na hilo gari. Tatizo kubwa watu wananunua Magari yaliyotengenezwa miaka 20 iliyopita unalinganisha na la miaka ya sasa. Utainjoi gari kama limetengenezwa miaka 3 yaani 2020 ingawa bei imesimama na ushuru pia umekakamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…