Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Tundege? Ongea Kiswahili nyama wewe!
 
Duhh
 
Mbona mnaleta ugomvi? Tujadili kwa busara
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Aendelee kuangalia kwa dharau hivyo hivyo,achokoze ndio atajua tuko vipi...
 
Tetee! tete!! Acha hizo wewe!! unaumwa? hiyo Misingi ya jeshi tumeiweka sisi!! unasikia dogo? wajuvi wa mambo...sasa kuonyesha kuwa naijua Kambi ya Ngerengere!! ndo mitaa yangu hiyo!!! nimewafundisha Nimepiga mpaka Kidugalo,

Visaraka kureeee!! kunako kupita shamba la Mikonge mle! shuka piga mpaka Mdaula! unashukia kwa Mzee Said Gombela pale unakunywa maji kidogo! .... unabisha?.... acha uongo hizo ndege ziko Museum ya wapi?? Makumbusho tuapajua hkn kitu km hicho usitudanganye ..

sikia sasa mie nikupe usiyo yajua zile ndege tuna utaratibu na Makubaliano maalumu ya kijeshi na Jamhuri ya watu wa china, na Soviet Union, wa kuzirudisha, pindi zinapokuwa zimechakaa, au hazitumiki ipasavyo hasa km hakuna vita! na kupewa nyingine mpya kulingana na mahitaji yetu maalum!!!

Mchonga alikuwa hafanyi mambo kikondoo!! ukisikia anaitwa Baba wa taifa tuna maanisha kweli tulimchonga na akachongeka kweli! Tanzania Bongo land, fanyeni mfanyavyo lkn itawachukua karne nyingi sana kumpata Kiongozi km yule!

Kumbuka mafundi ni hao hao wachina na weusi wachache!! Weupe wote Duniani hawatupagi kitu cha thamani hata kinyesi kile unachodharau wewe leo, wao ni bongeee ya Maligahfi!! ndiyo!! ni kawaida yao, .....

Mbongo mwenye akili hawezi acha bonge la Mali km zile ndege eti ziozee tu Museum, zimepitwa na wakt weee! ........ km hazijaibiwa faster na watu wasio julikana! umekosea sana kaanze kusoma upya.... hatuishi ivo!

Reconditioned items'' unajua manake au naongea na mtoto??? wewe unatudanganya kiswahili swahili mnoo! bana, acha uongo wa kahawani kariakoo huo!
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ajaribu chokochoko ndo atajua.
 
Duuh Yakhe wewe?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Sasa Kagame anaweza kutufanya nini yule mtusi na kale kanchi kake Kama mkoa mmoja wa tazania ?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Acha kuzusha uongo, shughuli nzima iliyofanyika siku ya uhuru hasa ya kijeshi aliifurahia sana, ndio maana hata kwenye facebook yake alipost uimara wa jeshi letu katika clip aliyorusha ya ziara yake hapa nchini jaribu kumfollow.Jeshi letu ni imara mno, yeye,museveni etc ni alumni wa jeshi letu.
 
I concur.
 
Ataichukua Dodoma ndani ya wiki moja na ya pili atakuwa Dar. Kuna mdau kanijuza punde kuwa Rwanda ni hatari kijeshi.
Unapendaga uchokonozi wa kikuda. Hapo umejiona umechokoza mada kijanja mwenyewe πŸ˜„πŸ˜„
 
Ndio sura yake ilivyo ..PK amezeeka sasa na kumbukumbu asili yake ...alikuwa vitan so most of time alikuwa mtu wa kukunja uso tu...

Ile Nchi Ina matatizo imagine Wana tingisha Nchi Kama France huku NI kujidanganyaa akamuulize kilicho mpata Gadaffi ...alikuwa na dharau za wazi wazi kwa wakubwa lkn hakuamin kilicho fuata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamepigana wapi mkui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…