Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Alikuwa anashangaa kama Mimi Mzalendo kushuhudia maendeleo ya miaka 60 ya Uhuru wa nchi ya viwanda kuonyesha tu maendeleo ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama bila kuonyesha hata Kiwanda kimoja kati ya 4000 vya Mwijage. Mwijage hata kutambulishwa alirukwa!Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Size siyo sababu, mbona Switzerland ni ndogo lakini ni tajiri na hatari. Jaribu kufikiri vizuri. Nchi yako ni kubwa mara nne ya UK lakini ni fukara kupindukia. Acha ujinga.Sasa Kagame anaweza kutufanya nini yule mtusi na kale kanchi kake Kama mkoa mmoja wa tazania ?
Ulitaka afanye NINI? Asimame alipigie saluti au afanye nini? Hivyo ndivyo alivyo Kamanda Kagame, huwezi kumbadilisha namna anavyo angalia! Sasa it is up to you kutafsiri kila aina ya mtazamo! Tuambie wa Rais Kenyetta ulikuwa na MAANA GANI!?Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
ana kumbuka JWTZ ilichowafanya vijana wake wa M23 Kule DRC chini ya MONUSCO, hatafurahia kamwe maana sasa haiibi tena kwa uhuru DRC HAHAHAHHAHAKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Punguza hasira mkuu,mawazo uliyonayo wewe hayawezi kufanana na ya wengine.Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?
Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weledi siyo upumbavu kama huu.
Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa, ujinga gani huu?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwambie huyoPunguza hasira mkuu,mawazo uliyonayo wewe hayawezi kufanana na ya wengine.
HANA lolote yeye kila kitu hanadharau tuu hata jeshi la south africa anaridharau kuna siraha nyingi jw wanazo ila yeye HANA.Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ni mtu wa kudharau kudharau wangapi , hapa Mwaka mmoja nyuma hapo kugombana na mu7 , akapanga kumfanya vibaya , na vitisho kibao, ila hakuna halilolifanya.Hata akidharau wewe ina kuhusu nini au utapata hasara ipi?
Ruto na jeshi lake kipindi hiki wanamtoa. Zile ndege zilizoshambulia waasi Congo ni ndege za Kenya.HANA lolote yeye kila kitu hanadharau tuu hata jeshi la south africa anaridharau kuna siraha nyingi jw wanazo ila yeye HANA.
NIMEWAHI KUMSIKIA SIKU MOJA ALIKUWA RWANDA KULE MKUTANONI ALISEMA UKANDA HUU HAKUNA MTU WA KUMTOA MADARAKANI HATA TUKISHIRIKIA NCHI ZOTE π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Waliwashambulia lini?Ruto na jeshi lake kipindi hiki wanamtoa. Zile ndege zilizoshambulia waasi Congo ni ndege za Kenya.
Ni kosa Sana mwanajeshi jasusi na Mbobezi kuwaangalia wenzie, anacheeeka na kukumbuka mbaliii
HakikaTatizo la sisi Watanzania baadhi yetu tunajifanya ni wajuwaji sana kumbe akuna kitu