Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ila kwa kweli sikujua hasa shabaha ya waliotaka kuonesha vifaa vya kijeshi! Kama ni kuonesha tuna 'vifaa' wamefeli sana. Vingi ni obsolete na hata vimesahauliwa (Mig 21). Badali yake, imetoa picha kuwa hata makamanda wakuu wa jeshi letu hawajui maendeleo makubwa yaliyopo katika zana za kijeshi. Afadhali wangeficha aibu na kuleta kile tunachofanya vizuri zaidi tu: muziki.
Uhuru wetu hatukuupata kwa vita, wala hatuna vita hivi sasa au hatari ya karibu, kwa nini ikawa lazima kuonesha vifaa vya kijeshi kama 'maendeleo ya miaka 60?' hasa ukijua kuwa hatutengenezi chochote katika hivyo! Beats me.
Pengine wanafanya deception kimakusudi ili ajichanganye boya yoyote yule aonyeshwe kazi.
 
Jiulize pia kwann aliamua kuacha mafunzo yakijeshi marekani akarudi kupambana mpaka akabeba rwanda yote baada ya rafiki ake kuua na jeshi la serikali rwanda
 
Ila kwa kweli sikujua hasa shabaha ya waliotaka kuonesha vifaa vya kijeshi! Kama ni kuonesha tuna 'vifaa' wamefeli sana. Vingi ni obsolete na hata vimesahauliwa (Mig 21). Badali yake, imetoa picha kuwa hata makamanda wakuu wa jeshi letu hawajui maendeleo makubwa yaliyopo katika zana za kijeshi. Afadhali wangeficha aibu na kuleta kile tunachofanya vizuri zaidi tu: muziki.
Uhuru wetu hatukuupata kwa vita, wala hatuna vita hivi sasa au hatari ya karibu, kwa nini ikawa lazima kuonesha vifaa vya kijeshi kama 'maendeleo ya miaka 60?' hasa ukijua kuwa hatutengenezi chochote katika hivyo! Beats me.
wewe nawe acha ujinga. ile ni kwa ajili ya exhibition tu.

kwa akili yako unadhani zile ndio zana pekee za kivita za jwtz?.

kwamba zile zana zina reflect uwezo wa mwisho wa jwtz kimedani?.
 
Mimi nilidharau hata kutizama sijatizama kabisa
 
Bado ni upuuzi kufananisha jeshi la Rwanda na Tanzania. Hata awe amesoma wapi! Hayo majeshi ya Uganda na Congo DRC na magaidi wa Mozambique hayapo organized. Kuna ukabila,umaskini hayalipwi mishahara na matatizo kibao! Zaidi Kagame ni kibaraka wa makampuni ya wazungu! Wanamtumia kufanya machafuko Congo DRC na hata Mozambique ametumwa kulinda makampuni ya Ufaransa.

Pia hauwezi kuangalia uwezo wa jeshi la nchi kwenye gwaride na kutathimini uwezo wake. Ni mpuuzi tu anayeweza kufanya hivyo. Alimchokoza Kikwete akamfurumuaha kule Congo,kulinda amani ilikuwa gia tu. Na Kikwete angeendelea kuwepo madarakani Kagame asingedumu kwenye urais. Alijifanya kuzira kutumia bandari ya Dar akatumia bandari ya Mombasa mwisho wa siku akaomba yaishe baada ya kuingia gharama kubwa za kusafirsiha kupitia Kenya. So anaweza akapigwa kiuchumi kabla ya kijeshi.
Hawa wanajeshi wenu CCM ni wa kutuonesha tu kuvunja matofali ya ratio nyingi ya mchanga tu. Gwaride inasemekana ni domestic intimidation kwa Chadema na Mbowe na Tundu Lissu lakini hamna cha maana humo. Umesema kweli gwaride sio kigezo cha uimara. Kigezo imara ni kuwa tested frontline na ufaulu ktk operations. Je recently hawa wanaorukaruka wamekuwa tested wapi? Kama sio kupiga watu Mtwara wakati wa maandamano ya gesi.

Hayo ya kusema katumwa na wazungu afadhali katumwa hata yeye mana hao wazungu wanajua ana uwezo. Wameacha wangapi? Nani hasiyependa kutumwa na hao wazungu ktk Afrika leo? Na operation huwezi kusema adui hayuko organized wakati yuko vitani.
 
wewe nawe acha ujinga. ile ni kwa ajili ya exhibition tu.

kwa akili yako unadhani zile ndio zana pekee za kivita za jwtz?.

kwamba zile zana zina reflect uwezo wa mwisho wa jwtz kimedani?.
Wee ndiye mjinga, kama wataka tutukanane. Una elimu gani wee? Nchi zinaonesha zana za kivita katika siku za Taifa aidha kuonesha walipofikia katika kutengeneza silaha (hilo halipo) au jinsi walivyo na silaha za kisasa (kwa wale wasiotengeneza). Huwezi kuonesha silaha za zamani kwa exhibition. Labda wewe ndiye limbukeni unayetaka kuona. Lakini wamwonesha Uhuru au Kagame...yaingilika akilini? Nani asiyejua Mig 21 au makombora ya kawaida ya surface-to-air?
 
Timu pinga pinga huyo kwenye ubora wako kila kitu kinachomjia kwenye bichwa lake linapost tu .hoya wewe pinga pinga kwa niaba ya we zako iwe mwanzo na mwisho kupost uzi wa kijinga sawa na pia humu si facebook sio instagram humu kama twitter sawa ole wako urudie tena
 
Ila kwa kweli sikujua hasa shabaha ya waliotaka kuonesha vifaa vya kijeshi! Kama ni kuonesha tuna 'vifaa' wamefeli sana. Vingi ni obsolete na hata vimesahauliwa (Mig 21). Badali yake, imetoa picha kuwa hata makamanda wakuu wa jeshi letu hawajui maendeleo makubwa yaliyopo katika zana za kijeshi. Afadhali wangeficha aibu na kuleta kile tunachofanya vizuri zaidi tu: muziki.
Uhuru wetu hatukuupata kwa vita, wala hatuna vita hivi sasa au hatari ya karibu, kwa nini ikawa lazima kuonesha vifaa vya kijeshi kama 'maendeleo ya miaka 60?' hasa ukijua kuwa hatutengenezi chochote katika hivyo! Beats me.
Aibu tupu, gwaride lenyewe utafikiri skauti
 
Bado ni upuuzi kufananisha jeshi la Rwanda na Tanzania. Hata awe amesoma wapi! Hayo majeshi ya Uganda na Congo DRC na magaidi wa Mozambique hayapo organized. Kuna ukabila,umaskini hayalipwi mishahara na matatizo kibao! Zaidi Kagame ni kibaraka wa makampuni ya wazungu! Wanamtumia kufanya machafuko Congo DRC na hata Mozambique ametumwa kulinda makampuni ya Ufaransa.

Pia hauwezi kuangalia uwezo wa jeshi la nchi kwenye gwaride na kutathimini uwezo wake. Ni mpuuzi tu anayeweza kufanya hivyo. Alimchokoza Kikwete akamfurumuaha kule Congo,kulinda amani ilikuwa gia tu. Na Kikwete angeendelea kuwepo madarakani Kagame asingedumu kwenye urais. Alijifanya kuzira kutumia bandari ya Dar akatumia bandari ya Mombasa mwisho wa siku akaomba yaishe baada ya kuingia gharama kubwa za kusafirsiha kupitia Kenya. So anaweza akapigwa kiuchumi kabla ya kijeshi.
Miye pia napenda iwe hivyo. Lakini kama hatuoneshi 'the best we have' nini maana ya kuonesha vifaa vya jeshi kabisa?
Pili: hivyo unavyolisema jeshi la Rwanda yaonesha wazi unavutwa na 'uzalendo wa kupita kiasi' na si uhalisia. Tuulize tujuao!
 
Jf Kuna vitoto vyA ajabu hivi hamjui huyo kagame tumemtrain sisi na alitusaidia kule kagera
 
Kama kuna tukio hata mimi nimelidharau ni lile la Masanja na mwenzie nani sijui! Ulikuwa ujinga wa miaka 60 ya uhuru.
Sure,Mara nzige oh mama anasafiri sana,sana unataka asafiri baba yako
Tukio la kitaifa kubwa kama hilo tuache uchawa
 
Maonyesho yote mimi niliyaona ni upuuzi na matumizi mabaya ya raslimali tu; ni afadhali Magufuli aliyefuta sherehe hizo na kuelekeza pesa hizo kujenga barabara ya Morocco , na sote leo tunajua matokeo yake. Kuonyeshana silaha za zamani za kivita na mbinu za kizamani sana ni ulimbukeni mkubwa sana. Kwani kama wangefanya gwaride la kawaida na maonyesho ya kawaida kabisa yasiyokuwa ya kuonyeshana silaha na uwezo wa kijeshi wangepungukiwa nini? Mwaka 1979 ndege mojawapo ya hizo shenyang J-5 ilikuwa ikifanya maonyesho kama hayo hayo ya kijeshi ikaanguka mbele ya Nyerere pembeni mwa chuo cha Chang'ombe; nadhani mnara ule bado upo. Kama ndege hiyo ilianguka kwa mechanical failure miaka zaidi ya 40 iliyopita, mnaimani vipi kuruka leo mbele za umati namna ile. Ndege za kivita za Jeshi ni zile zilizoachwa na Nyerere, sidhani kama Airforce imewahi kupata ndege mpya za kivita miaka ya hivi karibuni. najua hata Kenya bado wana ndege za kizamani F-5 lakini sijawaona wakizionyesha hadharani kwa mbwembwe kama tulivyofanya sisi.
 
Maonyesho yote mimi niliyaona ni upuuzi na matumizi mabaya ya raslimali tu; ni afadhali Magufuli aliyefuta sherehe hizo na kuelekeza pesa hizo kujenga barabara ya Morocco , na sote leo tunajua matokeo yake. Kuonyeshana silaha za zamani za kivita na mbinu za kizamani sana ni ulimbukeni mkubwa sana. Kwani kama wangefanya gwaride la kawaida na maonyesho ya kawaida kabisa yasiyokuwa ya kuonyeshana silaha na uwezo wa kijeshi wangepungukiwa nini? Mwaka 1979 ndege mojawapo ya hizo shenyang J-5 ilikuwa ikifanya maonyesho kama hayo hayo ya kijeshi ikaanguka mbele ya Nyerere pembeni mwa chuo cha Chang'ombe; nadhani mnara ule bado upo. Kama ndege hiyo ilianguka kwa mechanical failure miaka zaidi ya 40 iliyopita, mnaimani vipi kurika leo mbele za umati namna ile. Ndege za kivita za Jeshi ni zile zilizoachwa na Nyerere, sidhani kama Airforce imewahi kupata ndege mpya za kivita miaka ya hivi karibuni. najua hata Kenya bado wana ndege za kizamani F-5 lakini sijawaona wakizionyesha hadharani kwa mbwembwe kama tulivyofanya sisi.
Barabara gani ya morocco unazungumzia?Magu alikuwa msaani tu iyo barabara ni msaada wa Japan jiulize hela zimeenda wapi, hii nchi imegeuka Hollywood kuna movie nyingi sana
 
Back
Top Bottom