Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mama kaifungua majuzi tu; naye unasema ni msanii? Hata kama pesa ziliongezwa kwa mkopo kukamilisha barabara ile, at least pesa za sherehe hiyo hazikutumika kuchoma mafuta ya ndege kiusanii kama huu wa leo, zimeongeza angalau kilomita moja ya barabara ya Morocco. Umeelewa?Barabara gani ya morocco unazungumzia?Magu alikuwa msaani tu iyo barabara ni msaada wa Japan jiulize hela zimeenda wapi, hii nchi imegeuka Hollywood kuna movie nyingi sana