Kwanza sijui kwa nini tunaonesha mambo mengi sana ya kijeshi siku ya maadhimisho ya Uhuru mbele ya wageni ambao potentially wanaweza kuwa maadui zetu. Tunaonesha ndege, vivaru, mizinga, magari ya kijeshi, ambulance, etc, mbele ya halaiki ya wageni. Tunatambua kwa wananichi maonesho hayo ni very interesting, lakini kwa nini yasitafutiwe siku yake kama siku ya mashujaa. Kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru tubaki na gwaride na hotuba fupi?Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?