Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Barabara gani ya morocco unazungumzia?Magu alikuwa msaani tu iyo barabara ni msaada wa Japan jiulize hela zimeenda wapi, hii nchi imegeuka Hollywood kuna movie nyingi sana
Mama kaifungua majuzi tu; naye unasema ni msanii? Hata kama pesa ziliongezwa kwa mkopo kukamilisha barabara ile, at least pesa za sherehe hiyo hazikutumika kuchoma mafuta ya ndege kiusanii kama huu wa leo, zimeongeza angalau kilomita moja ya barabara ya Morocco. Umeelewa?
 
Ndege zenyewe tulimnyang'anya idd amin kipindi cha vita vya kagera...... Ndege za kishamba balaaa.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?

Unamjua au unamsikia Tolu?
 
Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
Tanzania bado tuko smart na uzuri siku zote mkubwa huwa anabusara kama amefanya hivyo basi ni tabia za kike maana wanaume huwa huwa hatuna michezo ya kung'ong'a kabisa
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
CHADEMA akili zenu zaki bwegebwegeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ! wamefilisika mpaka wanaandika ngera tupu .
Magufuli aliwa FIX down to ground level mpaka mpaka akili zenu zimevia kabisa.
 
Acha udikteta. Mtu amefanya valid observation, wewe kwa sababu zako binafsi haijakupendeza, why don't you just shut up uwaachie walioguswa na post husika wachangie?

Kama ni mgeni hapa JF, basi fahamu kuwa unaweza kupuuza post unayoona haina manufaa kwako. Grow up!
 
Africa Mashariki nzima mwenye ndege za kisasa ni Uganda. Nakumbuka wao wana Sukhoi (Su-30)5 na Mig 21 kama 6. Pia wana helikopta Mi Mi-24 kama 5. Ilibidi wavunje benki kununua hizo. Hiyo ni fire power kubwa sana si ya kuchezea.
Sisi bado tuna Wachina Shenyang-6 na 7.
 
Barabara gani ya morocco unazungumzia?Magu alikuwa msaani tu iyo barabara ni msaada wa Japan jiulize hela zimeenda wapi, hii nchi imegeuka Hollywood kuna movie nyingi sana
Unaweza kutuwekea ushahidi mkuu?
 
Nchi zetu bado Ni maskini Sana aisee,hela yenyewe ambayo Uganda ilitoa kununua hizo ndege Wala hazitishi ni $740mil only.

Ni umaskini tu unatusumbua.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Kwanza fahamu kuwa PK ndie alieliongoza jeshi letu kumuondoa Idd Amin Uganda. M7 alimkabidhi kuongoza jeshi la Uganda.

PK kapata mafunzo ya jeshi hapa nchini na marekani ivyo anaelewa sana jeshi letu na madhaifu yake.

Dharau zake kwa jeshi ni kutokana na jeshi letu kuwa kimya na butu dhidi ya dhuluma zinazotokea nchini,uenda Tz ndio nchi ya kwanza duniani kwa makomandoo wake kupigwa na askari wa kawaida na jeshi likakaa kimya tu.

Wananchi wanateswa na kesi za ovyo,katiba inavunjwa nk.jeshi liko kimya! Sasa hapa unategemea heshima gani zaidi ya kudharaulika.
 
Humjui PK soma habari zake ndo utajua kwa nini JK enzi hizo alinywea.

PK kapata mafunzo ya kijeshi hapa nchini na pia USA ,kaongoza vita ya Uganda na ndie aliefanikisha kuondolewa Idd Amin,ni jasusi kamili Israel inamtambua. Wewe umeona PK anaguswa na nchi za magharibi?

Soma mkuu,jamaa ni level nyingine acha tu adharau jeshi letu maana km makomandoo wetu wanapigwa na kuteswa na polisi tu na jeshi linakaa kimya,hakuna namna zaidi ya kudharauliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…