Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
NASHAURI WALIMU WA HISABATI WAONGEZWE ZAIDI KWANI HISABATI IMEKUWA NI TATIZO KWA WATANZANIA WENGI MFANO KAMA HUYU.Kwa Jiyo maika mitano ametumika Kama Rais!! Nikweli kabisa ila tambua Kabla yakuwa Raisi Samia alikuwa makamu wa Rais ,Na utambue uraisi wake ulitomana na katiba baada ya Raisi kufia Madarakani .Nilivyomuewa Polepole nikwamba Mama asingeweza kugombea uraisi ndani ya chama kwasababu nidesturi ndani ya chama makamu wa Raisi hawezi kugombea nafasi hiyo
Wewe ni kati ya watu eti wanajiota wasomi. Hoja yako ni hoja ya msomi mpumbavu ambaye hajaelimika. Ni Ponjoro unayejipendekeza.Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Sawa anaomba awamu ya pili.Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Awamu ya Urais ni miaka mingapi mwalimu, kwa mujibu wa Katiba?. Tukifika 2030, tukasema hajatimiza awamu mbili za miaka kumi so yuko eligible kugombea, utakataa?Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
AWAMU ni kijitabu tuAwamu ni nini?
Wewe kitaaluma ni wakili, inakuaje unaleta uzi ambao hauna mantiki?? Yaani unafanya upotoshaji wa kutisha??Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Mkuu ukisema tatizo lake ni Samia basi utakua umejielekeza vibaya.Polepole ni mzalendo na mpigania haki uchwara. Anafaa kupuuzwa. Ameishi kwenye ukandamizaji wa haki na demokrasia na yeye akiwa sehemu yake kwa miaka 10, then imebaki miezi miwili kufanya uchaguzi anajifanya anachukizwa na umunyaji wa haki na demokrasia. Hana uzalendo wowote na ni mbaguzi wa jinsi. Tatizo lake ni samia; siyo kukerwa na ukosefunwa haki na demokrasia.
Wewe nae Bhana unakomaza fuvu saaana Kwa Hoja nyepesi Huyo unaemtetea Uraisi si aliupata Kwa kurithi niwapi SSH aliwahi kuwania kiti Cha Uraisi Kwa nafasi ya Raisi mpaka asitahili awamu Mbili ? Mfano!! Irani Raisi alikufa Kwa ajili ya ndege , kutokana na katiba yao Makamu wa Rais anakaimu kiti Cha Urais ndani ya miezi mitatu then uchaguzi unafuata wa kumpata Raisi alie chaguliwa na wananchi!!! Kwa SSH na Kwa katiba yetu alikuwa anamalizia awamu ya Raisi aliefia madarakani!!! Tunakuja SasaHii desturi imeandikwa wapi na ni lini iliandikwa na ikaanza kufanya kazi?
Tukianza na nafasi ya spika, mzee msekwa, mzee sita unajua waliwahi kugombea uraisi? Unajua ukimuondoa majaliwa hakuna waziri mkuu ambaye hajawahi kugombea urais?(kama yupo nikumbushe)..
Makamu rais wa kikwete unajua aligombea urais(mzee bilali), mzee shein kaenda znz,
Hii desturi iliandikwa lini na ilianza kutumika lini?
1. Kwanza si sawa kusema Samia amekuwa Rais kwa kipindi kimoja..naamini unaelewa.Mkuu, kwa nini tunaamini kuwa kwa mjibu wa katiba samia amekuwa raisi wa kipindi kimoja lakini hatuamini katika kuongeza kipindi cha pili?
SWALI: AWAMU YA URAISI HUHESABIWA KILA ANAPOINGIA RAISI AU KILA BAADA YA MIAKA KUMI?
Mfano ingetokea magufuli yupo hai, aangushwe mwaka 2020 baada ya kutumikia miaka mitano, halafu aingie tundu au makamu wake hadi 2025, halafu magufuli arudi 2025 hadi 30, je magufuli angekuwa wa awamu ya ngapi?
yote kwa yote, mr slow kwa yote aliyoyazungumza ni yapi mapya yametendeka ambayo hayakutendeka akiwa kiongozi wa ccm enzi hzo had apate uhalali wa kuyakemea kwa sasa?
Petro, what are you insinuating at?
Mambo yote sahihi aliyoyasema Polepole hujayaona, ila unakuja kudeal na kipengele kidogo tu ambacho hakina tija katika muktadha mzima wa dhamira ya polepole!
Wewe ni mwanasheria najua, tumis taaluma yako katika ku''seek'' common good, na siyo kuitumia kutafuta vipengele flani ili kutetea mambo mabovu.
Hoja yako hiyo, ni kama vile mtu amekosea spelling kutokana na tyiping error, halafu ukaacha mantiki nzima ya hoja na kujikita kwenye spelling.
We respect you Bro, simama upande wa haki.
Zote za UDSMMkuu my fellow learned brother Advocate Petro E. Mselewa, kwanza forgive me, naomba unikumbushe LL.B yako ni ya chuo gani? na LL.M yako ni ya chuo gani?.
P
1. Ukisoma ibara ya 99 ikisomwa kwa pamoja na ibara ya 100(1-5), utagundua kuwa hakuna utaratibu uliyovunjwa!Polepole amekuja na hoja 2.
1.zoezi la uteuzi wa mgombea limekiuka katiba ya chama.
2.mama hapaswi kuwa mgombea kwasababu ya desturi za chama.
Je, Polepole yuko sahihi kwa kiasi gani, na katika hoja ipi?
Kwanini sio sawa kusema SSH kawa raisi kwa kipindi kimoja mkuu?1. Kwanza si sawa kusema Samia amekuwa Rais kwa kipindi kimoja..naamini unaelewa.
2. Tunajadili haya kwa context ya chama-ccm na wana utaratibu wao kwenye mambo yanahusu chama chao..
3. Awamu za urais zinapewa tafsiri kichama vile haijawahi kutokea chama kingine tofauti na ccm kutawala..inawezekana km chama kingine kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kinaweza hata kufuta mambo haya ya awamu sabb msingi wake ni ccm..hivyo tunaongea awamu kulingana na ccm ndio hali iliyopo..
4. Mapya ambayo Polepole anazungumza ni kukiukwa kwa utaratibu wa chama kumpata mgombea wao kwa nafasi ya urais..na alikumbushwa Samia siku hiyo na Lusinde, akakataa.. dawa ya kosa ni kurekebisha kosa na si maelezo mnayotoa.
1. Ukisoma ibara ya 99 ikisomwa kwa pamoja na ibara ya 100(1-5), utagundua kuwa hakuna utaratibu uliyovunjwa!
2. Ni desturi gani hyo? Ndyo maana nikauliza mahali kuwa bilali na shein waliwahi kugombea urais,(kumbuka wote waliwah kuwa makamu wa rais), mawaziri wakuu karbia wote ukimtoa marehem sokoinne pamoja na mh majaliwa, waliwahi kugombea urais..
Swali hizi desturi za chama zliandikwa lini au ndo zmeanza kutumika kwa mh. Samiah?
Nilichogundua ni kuwa mr slow alikuwa na kagenge fulani ka kwake, hvo intelijensia ya chama ilimtangulia maili mia mbele..
Kumbuka kakikundi hako kaliwah kutaka kuvunja katiba ya jmt wakati hayati magufuli kafariki wakitaka mchakato wa kumpata mrith(KATIBA IPO WAZI LAKINI WALITAKA KUPINDISHA)
Halafu mkuu mbona kama vile hii hoja ya MANO O NOO Imefifishwa na mjadala wa shujaa huyu mpya wa chadema mr. slow..wachambuzi wamejielekeza zaidi katika hoja kwamba utaratibu wa Ccm umekiukwa wakati wa kumteua mgombea Uraisi.
..sasa sijui kama hawajasikia, au wanafanya makusudi, hoja ya pili ya Polepole kuhusu waliopata kuwa Makamu, Waziri Mkuu, na Spika, kutokugombea au kutokupitishwa kugombea Uraisi.
..mimi niko kwenye NO REFORMS NO ELECTION.
Ni hivi..kila baada ya miaka 10 ya rais anayemaliza awamu ya pili, ccm huwa wanafanya maboresho katika sera za chama..huwa wanaandaa waraka unasomeka ..maboresho ya mwelekeo wa sera za ccm kwa kipindi cha miaka ya ..let say 2015 - 2025 au ..2025 - 2035 na hapa ndipo tathmini ya jumla ya ilani ya uchaguzi kwa miaka 10 ya uongozi unaomaliza muda wake hufanyika..sambamba na kuandaa ilani mpya kwa mgombea mpya..! Ni mambo magumu kwenu mmezoea business as usual na kutaka vitu haraka haraka, matokeo mnakiuka process ya siku zote amabyo inakipata chama muonekano mpya..sera zinaboreshwa, mapungufu yanaainishwa na kutafutiwa majibu..ndio maana ya kupata mgombea mpya kila baada ya miaka 10..! ccm imefilisika imejaza taka taka, wanalojua wao ni matumbo yao.Ilani ya ccm huandaliwa kila baada ya miaka mitano na hata uwasilishwaji wa ripoti yake na taathimini yake hufanywa baada ya miaka mitano ndyo maana kila mkutano mkuu wa ccm wa miaka mitano, waziri mkuu hulazimika kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa ilani hyo mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu kwa upande wa jamhuri ya muungano na makamu wa pili wa raisi kwa upande wa znz !
Ripoti hyo ndo huwapa mwelekeo wa kuandika ama kuratibu ilani nyingne mpya ya miaka mitano..
Kwa hyo kaa ukijua kila baada ya miaka mitano huwa kuna ilani mpya ya ccm pamoja na kuendeleza mengne.
Halafu mkuu mbona kama vile hii hoja ya MANO O NOO Imefifishwa na mjadala wa shujaa huyu mpya wa chadema mr. slow