LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Kama huna cha kunijibu usinijibu ujinga mimi sio mtoto mwenzio, huyo Putin na wanyonge wanakujaje hapa!?Unajuaje! ?Labda angekuja kuwa Putini wetu. huoni alishaanza kuonyesha dalili za kutetea wanyonge! ?