Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Mkuu hii naifananisha na muungwana aliyekuwa anaoga mtoni halafu ghafla anatokea mtu mwenye matatizo ya akili (kwa lugha isiyo ya kiungwana mwendawazimu) anachukua nguo zake na kukimbia nazo kwa matumaini kwamba muungwana ataacha kuoga na kumkimbiza...,Ni kweli kabisa maisha yamenipiga ila kuamini kwamba wote humu JF pia maisha yamewapiga ni kutokujitambua,na siku hizi matajiri wenye ULIMBUKENI wa kuchagua wawepo sehemu flani na wasiwepo sehemu nyingine ni wachache mno,matajiri miaka hii ni wajanja,wanajichanganya kila mahali,WATU WANANYUMBULIKA,sio kama matajiri wa enzi ya mkoloni hata msiba wa jirani yake haendi kwa kuwa ataonekana sio tajiri.watu wengine unawakuta JF saa tatu usiku kwa lengo la kuwaelimisha watu kama nyie.JIONGEZE MKUU.
Dah aisee mkuu una busara sana ,nadhani sasa hivi ndio ingekuwa enzi za Tambaza huyu jamaa hata kama humjui basi ungetafuna simu kwa hasira
 
Kuchangia nachangia huu mtandao ni wa bure hamna anayelipa kodi. Huna mamlaka ya kunizuia acha tuendelee kupiga miayo na kujaza server za JF.
Dah ngoja nikalale nisije kukuiga kuendelea ku comment kumbe mwenzangu korokoroni.me
Dogo una mitusi mikuvwa bora UKALALE
yaani kuamka na kukuta kashfa kibao kuhusu JF nimekuogopa
kaa ujuwe Habari zote za magazeti na Redio huanzia JF
nakuomba rudi facebook au whatsapp ambako ni BURE
kudai kwamba JF hakuna mwenye Mamlaka ya kukufungia ni uchochezi
 
....kwa mkwara tu nakumbuka siku moja alikua anampiga biti demu wa jangwani et akajichanja na wembe halaf akailamba damu yake....jamaa alikua nunda sana...sa sijui hio roho ya uoga ya kujiua ilikujaje aisee
Sidhani kama ni roho ya uoga, pengine alikuwa anaonesha kuwa haogopi hata kifo
 
Ni kweli Marehemu Omary au Omario a.k.a Puza alijiua ila naomba nikusahihishe kidogo ni kwamba hakujiulia Riverside na wala alikuwa haishi Riverside bali alikuwa ni ' Mtoto ' wa Magomeni na hata Msiba wake ulikuwa hapo hapo Magomeni. Leo mnamwogopa Scorpion wakati Puza alikuwa akiyafanya makubwa na ya hatari zaidi yake na Masela wote wa Dar enzi hizo walikuwa ' wanaufyata ' kwake ila na yeye Marehemu Puza na ujanja wake wote alikuwa akisikia tu Marehemu Nkama Sharp yule Police ' mbabe ' na ' mtemi ' kuliko Police wote wa kipindi hicho au miaka hiyo anakuja tu alikuwa anatoka ' nduki ' kujificha. Puza alikuwa akipanda tu ' Daladala ' Makondakta walikuwa wakianza kukusanya nauli siti za mbele yake tu na kama akikaa siti ya mbele basi Makondakta walikuwa wakianza kukusanya nauli zao siti za kuanzia nyuma yake tu huku wakimtolea ' tabasamu ' la kumnunia kimoyo moyo. R.I.P Omary Puza na Nkama Sharp.

Acha uongo wewe, Puza alikuwa akiishi Liverside na Msiba wake ulikuwa riverside na tulimzika Makaburi ya Sinza , na wanafunzi tulikimbia mchakamchaka kutoka liverside mpaka Sinza makaburini
Puza hakuwa kama Scopion na wala hakuwa maarufu kwenye kundi la wahuni wa Dar, kwanza Puza hakuwa muhuni kwa maana ya uhuni unayoiongea wewe, alikuwa mbabe ule wa kiuanafunzi ni mtu aliyekuwa akiipenda shule ya Tambaza tangu akiwa primary pale Ubungo national housing, na kwa taarifa yako tu kabla ya mwaka 1990 alipoanza form one Puza alikuwa hajuliknai kwenye mashule ya Sekondari ya kipindi hicho

Na hilo jina unalombatiza la Omary wala sio lake
 
Imekuchoma nini? Asilimia kubwa ya hao waliokuwa secondary miaka ya 80 wanapiga kelele kuwa maisha magumu serikali imewaletea umaskini. We jaribu kufuatilia comments zao uone.

Kama ulianza miaka ya 80 ulikuwa secondary na upo humu JF jua we ni maskini. Na hauwezi tena kuwa kama bill gates huu ni muda wetu sisi tuliozaliwa miaka hiyo nyie mkiwa secondary
Wewe uliyepanga chumba kimoja Sinza uje uwe kama Bill Gates thubutuuuu,,,,utaishia kuwa kama Matonya.Bill Gates mwenyewe yuko kwenye mitandao ya kijamiii kama jf,sema tuu wewe bado pumbavu ukielimika utaelewa.
 
Tatizo lenu ndio hilo mnaukataa ukweli huku mkiendelea kuwa maskini na mawazo mgando. Kuanza upya sio ujinga na kukubali kuwa umekosea ni challenge ambayo inaweza kukusaidia kujijenga. JF ilikuwa home of great thinkers miaka hiyo ya 2007 mpaka 2009 sio sasahivi imekuwa political forum. Wengi wenu mlio humu ni njaa kali mmetumwa na vyama vyenu vya siasa kupiga porojo ili muweze kusaidia maisha yenu. hakuna hata mmoja anayekuja JF sikuhizi jst kuchangia mada au kuleta hoja ambazo zinaweza kuwajenga wengine.

Mfano mzuri ni wewe msem pitia thread hizo mbili ulizofungua na comments zote za nyuma ulizochangia inaonyesha wazi maisha yamekupiga una hela sio za maendeleo bali za kupeleka maisha mbele.

Watu waliokuwa vizuri kiuchumi huwez kuwakuta JF. Humu tumejaa sie vijana na nyie watu wazima ambao maisha yamewapiga. Kuanza upya si ujinga. Saa tatu hii usiku mtu una familia na umri umeenda uko JF kama si kukosa kazi nini?

Jitathmini mkuu.
Una akili ndogo sanaa,nyie mnaoimba nakupendaa,wavaa helen na wabana pua.Wote mnaact kama wanawake,ndo mjisifu mko vizuri?
 
Matola mmenikumbusha mbali, enzi hizo watoto wa mafisadi walitunyanyasa sana walipokuwa wakiingia na Peugeot 504 Kibasila Chang'ombe sisi tunagombea Ikarus na vikaptula,
Baharia yeyote akisimamisha guruwe nje Half-time lazima mtoto wako atakutoka tu na saa 8 atapanda.ni kweli enzi hizo kwa Dsm shule za Tambaza na Azania zilikuwa sumu hata kuzisikia ukiwa na mchuchu iwe mmekutana beach au RSVP kwa Mzee Mbowe
 
Usijidanganye mkuu aliyetosheka na maisha aje JF kutafuta nini? Wote tuliomo humu tuna njaa tuu. Either tunaingia humu kwa kukosa kazi za kufanya, kujipoza na uchungu wa maisha au tumetumwa na vyama vya siasa kueneza propaganda.

Mtu makini na aliyetosheka na maisha saa hii katulia na familia yake Au anapanga mipango mingine. Wote humu njaa kali tuu
Nakusikitikia sana marais wanajiunga kwenye mitandao ya kijamii sembese mtu wa kawaida.Dogo utaja shikishwa ukuta siku moja.Christiano Ronaldo,Mess,Obama nk wako mitandaoni.
 
R.I.P jamaa lakini tulikuwa mesi anasimamia foleni ya msosi siku moja akamchania shati jamaa, alichezea KO Na jamaa alitoka nduki kiukweli utawala wake ulitingishika baada ya tukio la KO wakati Yeye alikuwa mbavu Na mshkaji mwepesi, sie manjuka enzi hizo, tulikuwa tunamkubali Kama mtetezi wetu.
Kwa hiyo puza akachezea KO!!
Hakuja kulipa kisasi?
 
Puza alikuwa mtemi sana,kipindi anaingia form one alipigana na jamaa wa form two,yule bwana wa form two alidundwa vibaya sana. Wapi Saga Power atueleze chanzo cha kifo cha Puza ila hakuwa na kesi ya mauaji
Saga power nasikia yupo mantrac, nafikiri Ni mhasibu pale.
 
Nakusikitikia sana marais wanajiunga kwenye mitandao ya kijamii sembese mtu wa kawaida.Dogo utaja shikishwa ukuta siku moja.Christiano Ronaldo,Mess,Obama nk wako mitandaoni.
ndio unavyojidanganya hao uliowataja kila siku wako IBIZA au kwenye Private Jet zao kwenda kula raha. wanaopost na kuendesha hizo account zao za social media ni Vilaza kama mimi na wewe kwa ujira mdogo
 
Wewe uliyepanga chumba kimoja Sinza uje uwe kama Bill Gates thubutuuuu,,,,utaishia kuwa kama Matonya.Bill Gates mwenyewe yuko kwenye mitandao ya kijamiii kama jf,sema tuu wewe bado pumbavu ukielimika utaelewa.
Bill gates hawezi kupoteza muda wake kuja kwenye mitandao ya kijamii. sema kuna vilaza kama mimi na wewe ndio wameajiriwa kuendesha hizo account za social media.
 
Poor IQ

Hivi unafahamu San Fransisco sasa hivi ni saa ngapi? Tokyo? Macau? Hawaii? Cannibera? Sydney?

Jinga kabisa wewe a unadhani kila mtu yupo kwenu Tandale? Fanculo.

Mpwa kina Samira tayari wapo shule nimeshamalizana nao biashara ya ada wamilikiwa shule tukutane January, sasa ni muda wetu wa kukemea uzee.....

Tatizo nipo kiluvya kwa kawawa niko na mshirika tunapiga mdudu kwanza, bata za kiutu uzima si lazima mtokee mujini.

Ukuje pm nikupe location.
Kumbe upo san fransisco, tokyo, macau na hawaii ya KILUVYA.
 
Kwan jf ni kituo cha wahuni na walioshindwa? Je hakuna mada za kitabibu na Afya humu? Habari za malez na ujasiriamali je ? Tatizo letu waafrika tunaangalia umri kwa namba sio kwa kujifunza, waache wazee waendelee kujifunza huku wewe ukifanya jitihada za kuwachafua
Huyo amekuja kuharibu thread achana nae
 
Lazima tulete nyodo. Watu hatujazaliwa nyie mko secondary leo tupo wote JF tunachati. Kuna sehemu mtakuwa mmekosea lazima naelewa nw kwanini wengi humu hamuipendi CCM.
Sijui unaongea nini, lini JF iliundwa ili iwe ya watu wa umri fulani? Sijui umeshawahi kufuatilia baadhi ya maneno ya rais katika hotuba zake, anaongelea/ anajibu yanayojadiliwa humu, hivyo si ajabu yumo humu
 
Back
Top Bottom