benerax
Member
- Jul 11, 2015
- 70
- 29
mi nakumbuka bro wangu alikua anatoka tambaza half time anakuja kunicheki muhimbili primary kwenye ground, anakuja na dent Wa form one na anamwambia yule dent aninunulie vitu nitakavyoviiyaji,ila kuna kipindi walikamatwa wanafunzi wengi Wa tambaza na bro wangu alikuwepo na wakafunguliwa kesi ya mauaji nadhani aliyeuliwa alikua ni kati ya konda au dent mwenzao manake tukio lenyewe lilifanyika kwa mob,ila walokuja kuachiwa na ndio wakaanza kutawanywa