Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwan kua jf ni kua ni kwamba mtu ume lost...kijana kijana nadhan umekosea njia saiz yako ni fb...kwa taarifa yako watu wote makin wapo humu jf..vikojoz kama ww mmekuja humu kwa bahat mbaya!
Siku zote huwa nawaambia hawa watoto humu hatujuani kwa sababu ya hizi I'D zetu. Ila tukishaingia huko PM na kutambulishana tunabaki kushangaana. Respect kila ID unayokutana nayo humu.
 
So pathetic
 
Umenikumbusha kikosi cha Azaboy Footbal. Kina Robert Mwampembwa, Edward Mpandang'ong'o, Cecil/Sisili, Tilla, Sasi .... Dah, Azania my school, the school of gentlemen.

Vv
mkuu huyo Mwampemba hata mimi nilikuwa namkubali,ni yule jamaa alikuwa na vijimvi flani kichwani na pia alikuwa mchoraji katuni? ila Tambaza nako kulikuwa na jamaa anaitwa Lodrick wakati ule akiwa A level,hawa jamaa walikuwa wanastahili kucheza team kubwa,na kule kinondoni kulikuwa na aboubakar kombo.KWA KWELI UMISETA BADO MUHIMU.
 
Mkuu don't argue with a fool, people may not notice the difference
 
Duh,mkuu umenikumbusha yule babu,nilikuwa navuta jina haliji,pia nimekumbuka Harlem house na paradise hostel.....
 

Lodrick alikiwa mwisho, alikuwa bonge la mchezaji, inasemekana miaka ile Simba walimtaka
 
Enzi Hizo shule tano ndio zilikuwa zinatingisha nchi nne zilikuwa zinaanza na K na moja T yaani Tambaza. Hizo za K nakumbuka mbili tu Kibohehe na Kilimanjaro Boys. Enzi hizo stori za wanafunzi ilikuwa ni utundu shuleni na ufaulu
rungwe the champions
 
Shkamoo [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
 
Huu mjadala unanihusu mimi Gang Chomba ambae nilikuwa Vice wa Puzza.

Tuanze na Ishu ya ugomvi kati ya Tambaza na Azania.

Ugomvi uliwahusu Walter Muro aka Sisulu from Azania ndio alikua mpinzani No 1 wa Puzza mpk kifo chake.

Walikua marafiki wakubwa mpk kulala kitanda kimoja na miaka michache baadae wakageuka maadui wakubwa jambo lililosabasha vita vya mara kwa mara kuanzia mitaani, shuleni na mara nyingine hata kanisani Ubungo Lutherani Church ambapo wote wawili wazazi wao walikua wazee wa kanisa (church elders & na waimba kwaya (choir members)

Ntarudi na kisa cha ugomvi wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…