Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Na Jobungu (R.I.P.) mlikuwa nae? Nae alitokea Tambaza.
Jubungu,alikuwa mbele yangu nadhan huyu alihama tu kabla ya fujo.Nilikaa nae chumba kimoja asee,alikuja kuwa assistant hp.Hivi alikufaje huyu jamaa,alikuwa janjajanja sna huyu mtu rip.
 
Jubungu,alikuwa mbele yangu nadhan huyu alihama tu kabla ya fujo.Nilikaa nae chumba kimoja asee,alikuja kuwa assistant hp.Hivi alikufaje huyu jamaa,alikuwa janjajanja sna huyu mtu rip.
Alihamia baada ya fujo.
 
Bila kuwasahau Mrs Msuya akinyanyasa kwenye Geography, mrs Mdeme, Mrs Shija, Nkya na Luteganya kwenye Chemistry, bila kumsahau mwalimu wetu wa ' masubwi' Mark Hatia, huku Sindila akitusindikinza na 'oyaaa msela oyaaa!!! Oyaaa msela oyaa.....its was real fun back to those dayz!
 
Erick Cassian yupo bado siku hizi ni mkalimani Fulani hv anajua sana kichina huwa naonana nae sana sinza
 
*sahihisho: Ni Rashid Mchatta na sio Rajab Mchatta.
Rajab hakusoma Tambaza.

Asante kwa taarifa nzuri.
 
*sahihisho: Ni Rashid Mchatta na sio Rajab Mchatta.
Rajab hakusoma Tambaza.

Asante kwa taarifa nzuri.
Rashid Mchatta ndiyo mkuu.

Jamaa ana discipline yule nilipoambiwa kiongozi wa maskauti sikushangaa.

Tambaza tunapata sifa ya wahuni tu lakini vichwa kama vile watu hawavisemi.

Songambele kama kulikuwa na mwalimu wa jina hili vile?
 
Dah hii mechi nakumbuka Kino walikuja na pick up imejaa fimbo wao bila kujua wenzao Tambaza wameandaa "silaha" kali zaidi yao (za kisasa kwa wakati ule). Kiichotokea ni ile mechi haikuchezwa!!
 
Hawa waalim ni wa Azania sidhani kama walikuwa Tambaza unless sina kumbukumbu nzuri maana mimi nilisomaga kote (Tambaza na Azania)
 
Dah hii mechi nakumbuka Kino walikuja na pick up imejaa fimbo wao bila kujua wenzao Tambaza wameandaa "silaha" kali zaidi yao (za kisasa kwa wakati ule). Kiichotokea ni ile mechi haikuchezwa!!
Mechi ilikuwa pale kiwanja cha Muhimbili Primary,
 
Dahhhh! umenikumbusha mama Shija....mchawi wa chemistry,hivi mama yuko wapi siku hizi?nakumbuka kwenye ile amsha amsha alitupwa Azania,Hatia nae wapi siku hizi? manake ndo alikuwa kiboko ya watemi wote pale maeneo,ila family ilikuwa na nidhamu kwa walimu,pamoja na ile micharuko sikuwahi kuona mwalimu wa tambaza akishikwa koo na mwanafunzi wa tambaza,ajabu madenti wa siku hizi kugusa koo la mwalimu ni kawaida.
 
Sikuwahi
sonda boy yupo mjini hapa nipo nae kundi la whatsapp tambaza 1988-1991
Wapi Fred Mkondya?
 
Upo sahihi, Tambaza ilikuwa na sura mbili, hio unayoikumbuka wewe na hii tunaijadiri sasa.

Huo ubabe wao ulikuwa unafanywa na hao hao wapiga kitabu.
Exactly!
 
heshima zenu wakuu 88??
 
heshima zenu wakuu 88??
Mwaka 1988 mechi ya Tambaza na Azania ilipigwa uwanja wa magunia msasani ambapo wanafunzi wa Azania na mwalimu wao wa michezo rwegoshora waliangushiwa kipigo cha mbwa mwaka 1989 mechi hii ilipigwa ndani ya uwanja wa Azania refa rii akiwa kanali kipingu baada mechi Azania walilazimika kuvua kaptula za khaki na kutembea kwa miguu adi majumbani kwao ili kunusuru maisha yao!
Wapi kaka Pascal Mayala atupe michapo ya Tambaza ya akina shetani, no-mbungi, Okelo, chapa?
 
for the first time nimesoma comments zote za thread ...huu uzi kiboko,very interesting...big up 2 old tambaza though hizo story zinatokea wengine ndo tulikuwa tunazaliwa!R.I.P puza
We kama mimi... nimeipenda sana hii thread.... salute kwao aisee.. navyoisoma utadhani nilikua namfaham huyo Puza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…