Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Hakika Tambaza ilikuwa ni shule ya kikamanda
 
Daaah!Puza anafariki nadhani nilikua bado kama miaka 2 hivi nianze std1 i was a kid still...Kwao walikua wababe wababe sanaa..Nimeishi nao Ubungo.

Huyu ni marehemu Uli mdogo wake Puza R.I.P
 
Okelo kaoka siku hizi fundi mzuri tu wa wiring!
 
Mkuu umenikumbusha hayo majina ya Sonda Boy, Okello bila kuwasahau akina Daigo, Meja, No Mbugi, etc
Okello alipanda cheo baada ya kumpiga major! ila walimlia timing next time na kumfungia kwenye kabati! watu wanasikia kabati linagonga kwandani kuja kufungua okello anato kandani!
 
Uli sikumbuki ila Aliko alifia nafikiri south.A!
 
Kina rogger Mo maplayer ndio wanafunzi wa kwanza kulizindua gereza la segerea jipya baada ya match kali sikumbuki ni mgurani au laa baada ya vurugu madent kibao wakitiwa ndani segedansi full maji misosi raha kama home!Baada ya hapo ndio madent watambaza kutoka wakafaniyiwa wkatupwa kwendamashule mengine kupunguza vurugu Rais mzee ruksa, mtaani kwetu ndio wakina Okello walikotoka,kina kigongo kina roggers nk!wote toka ubungo national housing primary product!
 
Miaka ya sisi tunazaliwa nyie mko sekondary. Duh kweli life inaenda kasi. Nyie mlioko humu JF inaonyesha life imewapiga kikumbo na mko vibaya kimaisha. Poleni sana
Dogo unachat na mawaziri na wabunge pamoja na wakurugenzi na baba zako wazazi tuliza kipago ha ha ha

NB. Maisha ya kipindi kile na yakumbuka sana, shule za watemi zilikuwa Tambaza na Vituka nakumbuka kuna siku wanafunzi wa Tambaza walimteka kondokta wa chai maharage stendi ya shule ya uhuru wakaitwa polisi toka Msimbazi, walitembeza kichapo wale polizi na kukamata kila mwanafunzi aliyekuwa maeneo yale nakumbuka siku hiyo tulikimbia kupitia boda la MSD tukatokea Keko
 
Inaonekana zamani mlikua mnasoma mkiwa wakubwa wakubwa...Form one aa siku hizi ni madogo kichizi
Zamani watu walikuwa na maumbo makubwa kiaina....nakumbuka naanza Standard one pale Upanga Primary 1991....nikiwaangalia makaka wa darasa la saba ni mijeba kabisa unaweza iamkia.
Hizo ishu za Tambaza nilizisikia sana maana nilikuwa jirani nao tu.
 
Alipigana na jamaa wa form three sio form one..aliepigwa alikuwa anaitwa Tafu.Baada ya hilo pambano Puza aapandishwa cheo hadi kuwa Captain

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Watu wanatia na kupata mimba enzi hizo wakiwa primary school
Zamani watu walikuwa na maumbo makubwa kiaina....nakumbuka naanza Standard one pale Upanga Primary 1991....nikiwaangalia makaka wa darasa la saba ni mijeba kabisa unaweza iamkia.
Hizo ishu za Tambaza nilizisikia sana maana nilikuwa jirani nao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…