Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kila mtu akileta mambo ya shuleni kwake hapa itakuwa shida,hayo jadili na tambaza wenzio wa huo mwaka tena ktk wasap group kama halipo unda group uwe ADM mjadili kwa kina.
 
Inasemekana PUZA alijiuwa sababu ya wivu wa mapenz
 
Mimi hapa umenikumbusha Mzee Alexander Ndeki alikuwa mkurugenzi wa elimu nilipoanza kazi ya ualimu baada ya kuhitimu UDSM 1994. Mzee alikuwa very principled. Nilipangiwa kazi kwenye shule ambayo nilifanyia BTP mwaka uliotangulia. Habari za Tambaza zilivuma sana kipindi hicho.
 
Kaka shikamoo
 
Familia ya kina Puza hii ni familia ya Kinyakyusa Puza,Ulimboko ( Uli ) na Aliko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
miaka hiyo azania na tambaza vijana walikua machachari na akili zao zilikua machachari ila sasa azania na tambaza zimepoa na vijana akili zao zimekua baridiii, matokeo yao yanatuumiza sana tuliosona ktk shule hizi huko nyuma
dah kweli kbs..sikuhizi vimekuwa visengevisenge,hawawezi ubabe wa kimwili wala kiakili..facken
 
kumhanya, valangati lugha za kibabe wakati huo.
 
Design familia ilikuwa na chembechembe za u primitive. Maana vibaba vitatu vimeondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah jamaa wamekukumbusha mbali .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma uzi wote nilichogundua Mwl lulindi aliwahi nifundisha kibasila mwanzoni wa miaka ya 2000 . Alikua anafundisha civics na utani mwingi japo alikua anaonekana umri umeenda. Ilikua raha sana kipindi chake . Haya wakongwe hongereni RIP puza
 
Nimesoma uzi wote nilichogundua Mwl lulindi aliwahi nifundisha kibasila mwanzoni wa miaka ya 2000 . Alikua anafundisha civics na utani mwingi japo alikua anaonekana umri umeenda. Ilikua raha sana kipindi chake . Haya wakongwe hongereni RIP puza
Lulindi alitufundisha civics Tambaza,nadhani ndio mwaka lilipobadilishwa jina kutoka siasa kwenda civics,baada ya zile fujo walimu wengi walihamishwa,Lulindi akaletwa Kibasila sec.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…