Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Azania form six mwaka huu imekuwa ya mwisho kwa Dsm
 
Nadhani huo utukutu wa Tambaza ndo ulipelekea wasichana kuanza kusoma hapo.wakati huo sie tupo sec za mkoa,Tambaza ilikuwa inajulikana nchi nzima kwa utukutu.
Wasichana kitambo ,ila high school nakumbuka Dada yangu alimaliza high school 1987 tambaza
 
Kwani kuwa jf lazima uwe umefeli au? Dogo acha ujinga ,unajua ujinga umemfanya inzi asiweze kutengeneza asali hadi leo!
Imekuchoma nini? Asilimia kubwa ya hao waliokuwa secondary miaka ya 80 wanapiga kelele kuwa maisha magumu serikali imewaletea umaskini. We jaribu kufuatilia comments zao uone.

Kama ulianza miaka ya 80 ulikuwa secondary na upo humu JF jua we ni maskini. Na hauwezi tena kuwa kama bill gates huu ni muda wetu sisi tuliozaliwa miaka hiyo nyie mkiwa secondary
 
natamani kuhuliza,hivi haya mambo yalikuwa yanatendeka wausika awashitakiwi na kukamatwa kwa fujo au kulikuwa Akuna polisi wakati Jul!
 
Dah umekumbusha mbali Sana mkuu kipindi ukiingia form one LAzima story kama hizi upigiwe wa wakongwe wa shule, watu watukutu waliopita, vichwa vilivyoweka historia kwa kupiga singe digit na mengineyo.. Hiyo ilikuwa Azania 2001
 

Tatizo lenu ndio hilo mnaukataa ukweli huku mkiendelea kuwa maskini na mawazo mgando. Kuanza upya sio ujinga na kukubali kuwa umekosea ni challenge ambayo inaweza kukusaidia kujijenga. JF ilikuwa home of great thinkers miaka hiyo ya 2007 mpaka 2009 sio sasahivi imekuwa political forum. Wengi wenu mlio humu ni njaa kali mmetumwa na vyama vyenu vya siasa kupiga porojo ili muweze kusaidia maisha yenu. hakuna hata mmoja anayekuja JF sikuhizi jst kuchangia mada au kuleta hoja ambazo zinaweza kuwajenga wengine.

Mfano mzuri ni wewe msem pitia thread hizo mbili ulizofungua na comments zote za nyuma ulizochangia inaonyesha wazi maisha yamekupiga una hela sio za maendeleo bali za kupeleka maisha mbele.

Watu waliokuwa vizuri kiuchumi huwez kuwakuta JF. Humu tumejaa sie vijana na nyie watu wazima ambao maisha yamewapiga. Kuanza upya si ujinga. Saa tatu hii usiku mtu una familia na umri umeenda uko JF kama si kukosa kazi nini?

Jitathmini mkuu.
 
Kwan kua jf ni kua ni kwamba mtu ume lost...kijana kijana nadhan umekosea njia saiz yako ni fb...kwa taarifa yako watu wote makin wapo humu jf..vikojoz kama ww mmekuja humu kwa bahat mbaya!

Usijidanganye mkuu aliyetosheka na maisha aje JF kutafuta nini? Wote tuliomo humu tuna njaa tuu. Either tunaingia humu kwa kukosa kazi za kufanya, kujipoza na uchungu wa maisha au tumetumwa na vyama vya siasa kueneza propaganda.

Mtu makini na aliyetosheka na maisha saa hii katulia na familia yake Au anapanga mipango mingine. Wote humu njaa kali tuu
 
Du!
 
Lazima tulete nyodo. Watu hatujazaliwa nyie mko secondary leo tupo wote JF tunachati. Kuna sehemu mtakuwa mmekosea lazima naelewa nw kwanini wengi humu hamuipendi CCM.
hata wewe kuna sehemu utakuwa umekosea ndio maana unashinda huku jf.....jf ni mtandao wa watu walioshamaliza starehe zote za ujanani wamestaafu wana chat kupoteza muda...sasa we kijana mdogo badala ya kutafuta ela unashinda huku we utakuwa na stress sana za maisha..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…