Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

mi nakumbuka bro wangu alikua anatoka tambaza half time anakuja kunicheki muhimbili primary kwenye ground, anakuja na dent Wa form one na anamwambia yule dent aninunulie vitu nitakavyoviiyaji,ila kuna kipindi walikamatwa wanafunzi wengi Wa tambaza na bro wangu alikuwepo na wakafunguliwa kesi ya mauaji nadhani aliyeuliwa alikua ni kati ya konda au dent mwenzao manake tukio lenyewe lilifanyika kwa mob,ila walokuja kuachiwa na ndio wakaanza kutawanywa
 
Mkuu kwako wewe utajiri inaweza kuwa ni kuwa na pesa na kulalia sufi lakini kwangu mimi utajiri ikawa ni kuwa na afya njema na uhuru wa kujiamulia mambo yangu huko sote tukisubiri mambo makubwa mawili,KUFA na baadae KUHUKUMIWA KWA YALE TULIYOTENDA TUKIWA HAI.
 
Ok sasa nimekuelewa vyema...kumbe unamwaga pumba zako sbb kwa fikra zako finyu unajua huu mtandao ni wa bure!@@@!@!!....Aisee ndo tatizo la kukaa kwa shemeji hata hujui kama MB zinanunuliwa!...cku dadako akiachwa ukaanza kujitegemea ndo utajua jf sio mtandao wa bure!!.....utajua kama kuna kitu kinaitwa MB!
 
Endelea kulala hapo sebuleni kwa shemeji yako kwenye makochi...
 

Azania Juzi Imeburuza Mkia Imebakia Stori tu
 
Sasa we uliosoma kijijin kwenu umefata nini kwenye huu mjadala??...anzisha na ww mjadala wa shulen kwako kama utapata wachangiaji ssb woote mliosoma nao hawajui hata jf ni nn...shukuru mungu ww upo mjin!
Mzee povu zinakutoka kwenye huu uziii kama umekunywa omoooo.. Vile ![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Enzi Hizo shule tano ndio zilikuwa zinatingisha nchi nne zilikuwa zinaanza na K na moja T yaani Tambaza. Hizo za K nakumbuka mbili tu Kibohehe na Kilimanjaro Boys. Enzi hizo stori za wanafunzi ilikuwa ni utundu shuleni na ufaulu
 
mkuu sishangai kuburuza mkia,madogo wenyewe ndo hawa wanaosoma huku wanachat kwenye whatsApp na face book huku wakitamani kuwa matajiri kama Bill Gates bila kufanya kazi bali kwa kucheza michezo ya kubahatisha


Yaap vijana wetu wamemalizwa. Enzi hizo kulikuwa na masomo ya sanaa Primary tunashindana kutengeneza mafagio miiiko na mabasi ya bati, heater za vijiko, redio za mbao nk. sasa hivi ni games to ndio basi tena hata kile kidogo cha uvumbuzi hamna
 
Yaap vijana wetu wamemalizwa. Enzi hizo kulikuwa na masomo ya sanaa Primary tunashindana kutengeneza mafagio miiiko na mabasi ya bati, heater za vijiko, redio za mbao nk. sasa hivi ni games to ndio basi tena hata kile kidogo cha uvumbuzi hamna
...wavumbuz wamebaki kina Danny Green ambao hawajui hata kama MB zinanunuliwa...et Jf ni mtandao wa Bure...shame on you Unaejiita Danny greeen!
 
Duh historia mzuri mno...hii thread watoto wa 90's wakae nayo mbali sana,Jf mna wakongwe hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…