Unazungumzia masuala ya kusafiri (tena kwa mfano wa chanjo nyengine kabisa na tunayoizungumzia hapa) wakati mie nazungumzia kuwa hata Astrazeneca zikija nchini hatolazimishwa mtu kuchanjwa.Hiari? Unaweza safiri nchi za nje bila chanjo ya yellow fever? Mbona hamkuipinga.
Unajua inferiority complex ni ugonjwa mkubwa sana.
Wewe ulikuwa unakata nini?Mbona wakati hajafa ulikuwa unaishia kukata mauno kupongeza?
Nimekuelewa na nina kubaliana na wewe kabisa lakini ninachopinga ni Rais kusema hatukuwa na msimamo wakati yeye hadi sasa havai barakoa!
Hivi anasubiri kamati ije kumshauri kuvaa barakoa?
Kwanini tusiamini kuwa ana ajenda anataka kuzipitisha nyuma ya kamati?
Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!Wakush my foot.... Mkush gani ww una akili ndogo hivi? Rwanda/Watutsi na Ethiopia wote hao wamekubali Chanjo ndio sembuse mkush wa Runzewe?
Mbona Yellow fever ndio ulidungwa ili uweze kufika Tanzania? Au hyo haikutoka kwa beberu?
Rais Samia amesema anaiweka nchi lockdown?Licha ya kuwepo mapungufu kupambana na covid lkn nchi hakuiweka
Lockdown,magufuli ni kama alikuwa anataka
Watanzania tuishi nayo tu
Ova
Chanjo sio hiari sababu utashindwa ku access nchi zingine kma hauna vaccine so wanadiplomasia, Wafanyabiashara n.k watakua affected.Unazungumzia masuala ya kusafiri (tena kwa mfano wa chanjo nyengine kabisa na tunayoizungumzia hapa) wakati mie nazungumzia kuwa hata Astrazeneca zikija nchini hatolazimishwa mtu kuchanjwa.
Halafu muhimu ni kuangalia hoja wanazotoa watu kuhusu chanjo za corona hizo ndio mzijibu na sio kusema mbona chanjo zengine hamjazipinga hii inaonesha mmeshindwa kujibu hoja.
Rais ni taasisi sio mtu.... Unaupofanya urais/ofisi ni mtu hapo ndipo sintofahamu hutokea na ndipo mtu hubebeshwa lawama au sifa badala ya taasisi.Wasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?
Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?
Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?
Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?
Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?
Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?
Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!
Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?
Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?
Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?
Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wasalaam!
Acha ujinga mzazi wangu aliugua manusura afariki mwezi wa pili..... My two best friends waliugua sana almost wanitoke. Then unakuja mpuuzi mmoja unaleta kejeli? Hvi unajua ilitutoka shingapi wana familia kumuokoa mzazi wetu? Alikua anapumulia ICU...... Tena aliponea hospitali ya kibeberu!!Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!
Unatoa matusi ya nini, ili uwekwe lockdown, au ulazimishwe kuvaa barako, ama upigishwe nyungu, au Chanjo??
Mbona siku zote hizo hujafanya?
Umekaririshwa na AstraZeneca utafikiri ndio chanjo pekee,wew ni miongoni mwa mazombie ya Jiwe!!!Mnamuonea gere Mama,mwacheni naye afanye ya kwake,enzi za jiwe alikua km konda tuWasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?
Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?
Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?
Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?
Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?
Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?
Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!
Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?
Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?
Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?
Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wasalaam!
Ataanzaje na AstraZeneca bila ushauri wa kitaalamu?! Huyu si magufuli jifunzeni kufuata utawala wa sheria na kanuni la sivyo mtakuwa na miaka 4 migumu sana.Wasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?
Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?
Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?
Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?
Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?
Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?
Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!
Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?
Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?
Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?
Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wasalaam!
Sasa kama bavicha wakipiga vigelegele linawapa faida nyie, kwa nini mnatoa vilio kila kona enyi wafuasi wa Chattle Inc.?Mabavicha nao wamekuwa wapiga vigelegele wa ccm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani hii inampa faida nani?
Mshukuru Mungu,Acha ujinga mzazi wangu aliugua manusura afariki mwezi wa pili..... My two best friends waliugua sana almost wanitoke. Then unakuja mpuuzi mmoja unaleta kejeli? Hvi unajua ilitutoka shingapi wana familia kumuokoa mzazi wetu? Alikua anapumulia ICU...... Tena aliponea hospitali ya kibeberu!!
Usiongee mambo usiyojua
Mapumbafu sana haya,yako selfish sana.Hivi hata Mpango hayakumuona,na jiwe je?Mim nimepigwa week tatu usiombe ikuguseAcha ujinga mzazi wangu aliugua manusura afariki mwezi wa pili..... My two best friends waliugua sana almost wanitoke. Then unakuja mpuuzi mmoja unaleta kejeli? Hvi unajua ilitutoka shingapi wana familia kumuokoa mzazi wetu? Alikua anapumulia ICU...... Tena aliponea hospitali ya kibeberu!!
Usiongee mambo usiyojua
Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.
Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.
Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Matusi yako wapi? Yaani kwakua sijaugua corona ndio eti corona haipo? Hvi reasoning zenu huwa mnaacha wapi? Na ukute ni Professor au daktari wa afya unaongea hivi??Mshukuru Mungu,
Hayo mengine ni matusi yasiyo maana, na uzingatie kuwakumbusha kuchukua hatua, matusi bila kuchukua hatua, haitazuia Corona kufanya yake
Ndugu, Corona ni Biashara za Wanasiasa na mabwanyenye wachache.Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.
Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.
Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Mpinzani wa SSH. HahahahahaAnataka wamshauri nini asichojua? Huu nao ni uongo mtupu na upotevu wa pesa! Hivi kweli hatuna msimamo juu ya Corona? Leo hii amesahau kuwa avai barakoa? Hajui kutovaa Barakoa ni msimamo tayari?
Ndugu, Corona ni Biashara za Wanasiasa na mabwanyenye wachache.
Ni wapi kusikokuwa na Corona?Matusi yako wapi? Yaani kwakua sijaugua corona ndio eti corona haipo? Hvi reasoning zenu huwa mnaacha wapi? Na ukute ni Professor au daktari wa afya unaongea hivi??
Ni hivi Corona ipo..... Nyumba za ibada tumezika wengi sana tu kwa hili tatizo. Mapadri umeona wamechukuliwa zaidi ya 25 then unakuja kuniuliza eti mbona sipigi nyungu/barakoa na sijaugua??
Siku ikimpata mama yako akagalagala chini ndio utaelewa anachosema Rais.
Umejuaje kama kwenye lockdown wanakufa wengi kuliko nchini kwako?Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.