UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Unazungumzia masuala ya kusafiri (tena kwa mfano wa chanjo nyengine kabisa na tunayoizungumzia hapa) wakati mie nazungumzia kuwa hata Astrazeneca zikija nchini hatolazimishwa mtu kuchanjwa.Hiari? Unaweza safiri nchi za nje bila chanjo ya yellow fever? Mbona hamkuipinga.
Unajua inferiority complex ni ugonjwa mkubwa sana.
Halafu muhimu ni kuangalia hoja wanazotoa watu kuhusu chanjo za corona hizo ndio mzijibu na sio kusema mbona chanjo zengine hamjazipinga hii inaonesha mmeshindwa kujibu hoja.