#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Hiari? Unaweza safiri nchi za nje bila chanjo ya yellow fever? Mbona hamkuipinga.

Unajua inferiority complex ni ugonjwa mkubwa sana.
Unazungumzia masuala ya kusafiri (tena kwa mfano wa chanjo nyengine kabisa na tunayoizungumzia hapa) wakati mie nazungumzia kuwa hata Astrazeneca zikija nchini hatolazimishwa mtu kuchanjwa.

Halafu muhimu ni kuangalia hoja wanazotoa watu kuhusu chanjo za corona hizo ndio mzijibu na sio kusema mbona chanjo zengine hamjazipinga hii inaonesha mmeshindwa kujibu hoja.
 
Nimekuelewa na nina kubaliana na wewe kabisa lakini ninachopinga ni Rais kusema hatukuwa na msimamo wakati yeye hadi sasa havai barakoa!

Hivi anasubiri kamati ije kumshauri kuvaa barakoa?
Kwanini tusiamini kuwa ana ajenda anataka kuzipitisha nyuma ya kamati?

Mkuu kuna mdau amekuomba uuandike msimamo wa Tanzania kuhusu Covid-19. Ni vyema ufanye hivyo ndipo umkosoe Mh Rais SSH kwa kueleweka vizuri zaidi.

Kuna wengi hatujawahi kuusikia msimamo huo ukitamkwa wala kuandikwa kwa uwazi kabisa! Umekuwa kama suala la speculations kibao!
 
Wakush my foot.... Mkush gani ww una akili ndogo hivi? Rwanda/Watutsi na Ethiopia wote hao wamekubali Chanjo ndio sembuse mkush wa Runzewe?

Mbona Yellow fever ndio ulidungwa ili uweze kufika Tanzania? Au hyo haikutoka kwa beberu?
Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!

Unatoa matusi ya nini, ili uwekwe lockdown, au ulazimishwe kuvaa barako, ama upigishwe nyungu, au Chanjo??

Mbona siku zote hizo hujafanya?
 
Unazungumzia masuala ya kusafiri (tena kwa mfano wa chanjo nyengine kabisa na tunayoizungumzia hapa) wakati mie nazungumzia kuwa hata Astrazeneca zikija nchini hatolazimishwa mtu kuchanjwa.

Halafu muhimu ni kuangalia hoja wanazotoa watu kuhusu chanjo za corona hizo ndio mzijibu na sio kusema mbona chanjo zengine hamjazipinga hii inaonesha mmeshindwa kujibu hoja.
Chanjo sio hiari sababu utashindwa ku access nchi zingine kma hauna vaccine so wanadiplomasia, Wafanyabiashara n.k watakua affected.

Nyie mna NEMC mna TFDA and mkemia mkuu etc mnashindwaje kutengeneza chanjo yenu or at least kuomba patent mtengeneze copy yake!! Kwanini kulialia tu?

Anyway kama chanjo ikija haiwezi kufanyiwa vipimo na clinical trials kwa sample ndogo na kutoa conclusion kabla haijawa mass distributed?

Hvi watanzania ni Elimu au exposure ndio shida? Afu kituko ARV na Yellow Fever mnatumia!! Kwa beberu huyo huyo. Hata huu upuuzi unapost kwa simu ya beberu ila hauogopi kuwa ina sumu ya kukuua?
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Rais ni taasisi sio mtu.... Unaupofanya urais/ofisi ni mtu hapo ndipo sintofahamu hutokea na ndipo mtu hubebeshwa lawama au sifa badala ya taasisi.

Rais sio mtaalamu wa afya hivyo ili kukamilisha UTAASISI lazima wote wanaohusika katika jambo fulani wakamilishe dhana ya utaasisi kwa kutimiza wajibu wao kitaalamu na kushauri serikali
 
Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!

Unatoa matusi ya nini, ili uwekwe lockdown, au ulazimishwe kuvaa barako, ama upigishwe nyungu, au Chanjo??

Mbona siku zote hizo hujafanya?
Acha ujinga mzazi wangu aliugua manusura afariki mwezi wa pili..... My two best friends waliugua sana almost wanitoke. Then unakuja mpuuzi mmoja unaleta kejeli? Hvi unajua ilitutoka shingapi wana familia kumuokoa mzazi wetu? Alikua anapumulia ICU...... Tena aliponea hospitali ya kibeberu!!

Usiongee mambo usiyojua
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Umekaririshwa na AstraZeneca utafikiri ndio chanjo pekee,wew ni miongoni mwa mazombie ya Jiwe!!!Mnamuonea gere Mama,mwacheni naye afanye ya kwake,enzi za jiwe alikua km konda tu
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Ataanzaje na AstraZeneca bila ushauri wa kitaalamu?! Huyu si magufuli jifunzeni kufuata utawala wa sheria na kanuni la sivyo mtakuwa na miaka 4 migumu sana.
 
Mabavicha nao wamekuwa wapiga vigelegele wa ccm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unadhani hii inampa faida nani?
Sasa kama bavicha wakipiga vigelegele linawapa faida nyie, kwa nini mnatoa vilio kila kona enyi wafuasi wa Chattle Inc.?
 
Acha ujinga mzazi wangu aliugua manusura afariki mwezi wa pili..... My two best friends waliugua sana almost wanitoke. Then unakuja mpuuzi mmoja unaleta kejeli? Hvi unajua ilitutoka shingapi wana familia kumuokoa mzazi wetu? Alikua anapumulia ICU...... Tena aliponea hospitali ya kibeberu!!

Usiongee mambo usiyojua
Mshukuru Mungu,

Hayo mengine ni matusi yasiyo maana, na uzingatie kuwakumbusha kuchukua hatua, matusi bila kuchukua hatua, haitazuia Corona kufanya yake
 
Mapumbafu sana haya,yako selfish sana.Hivi hata Mpango hayakumuona,na jiwe je?Mim nimepigwa week tatu usiombe ikuguse
 
Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.

Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.

Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?

Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.

tukisema mnatumia makalio kufikiri mnachukia.

kwa akili zako za kuvukia barabara magu angefariki kwa corona ungethubutu kumwona samia,mama janet,na waliokuwa walinzi wa jpm wakiwa hawavai barakoa???au walichanjwa???vipi yeye hakuchanjwa akafariki??

siasa sio upumbavu,fanyeni siasa kama taaluma nyingine.
 
Mshukuru Mungu,

Hayo mengine ni matusi yasiyo maana, na uzingatie kuwakumbusha kuchukua hatua, matusi bila kuchukua hatua, haitazuia Corona kufanya yake
Matusi yako wapi? Yaani kwakua sijaugua corona ndio eti corona haipo? Hvi reasoning zenu huwa mnaacha wapi? Na ukute ni Professor au daktari wa afya unaongea hivi??

Ni hivi Corona ipo..... Nyumba za ibada tumezika wengi sana tu kwa hili tatizo. Mapadri umeona wamechukuliwa zaidi ya 25 then unakuja kuniuliza eti mbona sipigi nyungu/barakoa na sijaugua??

Siku ikimpata mama yako akagalagala chini ndio utaelewa anachosema Rais.
 
Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.

Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.

Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?

Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Ndugu, Corona ni Biashara za Wanasiasa na mabwanyenye wachache.
 
Anataka wamshauri nini asichojua? Huu nao ni uongo mtupu na upotevu wa pesa! Hivi kweli hatuna msimamo juu ya Corona? Leo hii amesahau kuwa avai barakoa? Hajui kutovaa Barakoa ni msimamo tayari?
Mpinzani wa SSH. Hahahahaha

Utapata tabu sana Mataga
 
Matusi yako wapi? Yaani kwakua sijaugua corona ndio eti corona haipo? Hvi reasoning zenu huwa mnaacha wapi? Na ukute ni Professor au daktari wa afya unaongea hivi??

Ni hivi Corona ipo..... Nyumba za ibada tumezika wengi sana tu kwa hili tatizo. Mapadri umeona wamechukuliwa zaidi ya 25 then unakuja kuniuliza eti mbona sipigi nyungu/barakoa na sijaugua??

Siku ikimpata mama yako akagalagala chini ndio utaelewa anachosema Rais.
Ni wapi kusikokuwa na Corona?
Ni nani mpaka sasa kaidhibiti Corona?

Habari ya Udoct na Uprof achana nao, na punguza jaziba hazisaidii!!

Kama unaona zinasaidia, toa faida moja wapi tuone
 
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Umejuaje kama kwenye lockdown wanakufa wengi kuliko nchini kwako?
 
Back
Top Bottom