#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Kwahiyo Unaonaje ARV na Dawa mseto tuache kutumia ili tuombe tu Mungu? Au Mungu anaponya corona tu na sio magonjwa mengine.

Hvi unajiskiaje nchi kma uingereza Ukimwi,Umaskini,ujinga, na njaa upo chini sana alafu hku Tanzania unatumaliza? Au Mungu anawapenda wazungu kuliko sisi?

Mkitaka kufanya comparison msichague kitu kimoja ndio muone jinsi mlivyo na akili ndogo
 
Ndugu, Corona ni Biashara za Wanasiasa na mabwanyenye wachache.
Biashara kwa faida ipi wakati corona imeangisha masoko ya mitaji? Mfano US imetoa matrillion kma relief package ssa ni vaccine za shingapi zitafidia hasara ya Covid???

Unajua elimu na exposure ni changamoto sana TZ.
 
Kuitaja tu Corona, tayari ni Jambo la kishujaa kwamba, tunaitambua na tunajishughurisha Nayo!!

Tumevaa barakoa, n.k
Bado unasema hatujishighurishi mkuu
 
Ushamfukuza hapa jukwaani maana hilo ni jambo zito kwake.
 
Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!

Unatoa matusi ya nini, ili uwekwe lockdown, au ulazimishwe kuvaa barako, ama upigishwe nyungu, au Chanjo??

Mbona siku zote hizo hujafanya?
Yeye hajaambukizwa kwakuwa amekubaliana na corona protocols na wale waliokahidi hizo protocol tayari wamekwenda na maji
 
Huna Chanjo, nyungu hujapiga, lockdown hujawekwa na huvai barakoa, lakini upo na hujaambukizwa!! Huoni kwamba unachokiogopa kinakuogopa?

Pumbavu mkubwa wewe!
Baba yenu kesha onja makali ya corona na sasa bado wewe tukuimbie mpeleke mpeleke kwenu koromitje
 
Kumekucha!

Yupo sahihi kabisa kwa sababu ile kamati ya mwanzo iliongozwa na PM Majaliwa na Ummy Mwalimu ilikuwa ni ya kisiasa siyo ya kitaalamu na haijawahi kuvunjwa!

Ndio maana ukaona Jaffo amejiingiza na nyungu zake.
Naona jiwe amewarudishia akili alizokuwa amewashikia...
 
Yeye mbona hakuchomoka kwenye hiyo corona?

Yeye mbona hakuchomoka kwenye hiyo corona?
Japokuwa alikuwa na mapungufu yake.Narudia kwenye issue ya marketing ya Korona unahitaji IQ kubwa kumuelewa marehemu,wewe unafikiri marehemu alikuwa hafahamu tatizo lake la moyo?unafikiri hakutaka kuishi miaka mingi au alikuwa hana uwezo wa kununua balakoa na kwenda ujerumani au uswis kucheki afya yake kila weekend?.Ulimpima au neno Corona linakuvutia sana kulitaja.
 
Mkuu unaelewa nachokieleza kweli maana naona kama hunielewi.
 
Kampeni ya malaria, ukimwi nk nazo zilivaliwa njuga, huenda ulikuwa hujazaliwa, waulize wazazi wako. Ni hivi, ushirikina sasa basi.
Ilikuwa mwaka ngani? Mi nimezaliwa 1967. Ufanisi wake upoje?
 
Nadhani rais ameamua kutumia watalaam kufanya utafiti ili kujua ukubwa wa tatizo na hatua za kuchukua. Amelichukulia hili swala kitaalam kuliko kisiasa kama alivyofanya mwendazake
 
Simple sample space, Kwenye Magroup yako ya Whatsapp(Kama Unayo) Wamekufa Wangapi?
Work group yangu tupo 6.... Wameuguwa Covid 19 watu watatu.

Mzee wangu aliwekwa ICU

Hapo sijasema kanisani kwetu tumezika wangapi kwa Covid.... Hyo ni mimi tu ssa jiulize kwa watu million 10 tu sample ikoje.

Hzi data ni za mwaka huu tu.
 
Nimepitia comments nying zana za watu hapa jamvini. Kama TANZANIA tuna safari ndefu sana. Watu wanakufa kwa hizi chanjo watu wanapata madhara na haionekani dalili za watu kupona baada ya chanjo S.A wamesema. UK inasema corona tuishi nayo, GERMANY wanasitisha chanjo.. Lkn kuna kundi la watu wanasema chanjo zije tu ama lockdown. BADALA YA KWENDA MBELE TUNARUDI NYUMA KWA NGUVU NA SPEED KUBWA SAANAAA. R.I.P TZ
 
Huwezi sema hujafa sana wakati huna takwimu Mbona huelewi? Ww tupe takwimu mmepima wangapi na nani positive na nani kafariki/ recovery ndio uje hapa kupinga.

Kuhusu hoja ya medical facility? Nachosema magonjwa mengi tu wameweza control mfano VVU, Malaria,Influenza etc ssa kwanini unakejeli tu eti ''waliotuzidi kila kitu wanakufa zaidi yetu''?? Unapima kwa ugonjwa mmoja tena mlipuko more so hauna takwimu za nchini kwako?

Hvi hzi reasoning za wapi.

Mnadai tuna vijana wengi? Well kwanini VVU au Malaria haiwaui hao wazee wa ulaya ije iue vijana wenye kinga imara wa Africa? Au kinga ipo kwenye corona tu?

Naomba tujadili kwa facts
 
Kwan hizi chanjo zimepitia hatua zote hizo, km sample trials, na efficanty analysis, results interpretation n.k

Hayo yote kwwnye hizi chanjo hayapo, sasa wewe unasema nini??
hazijapita? Ina maana health experts wa WHO hawana huo utalaam kuliko wewe? Mbona clinical trials za pfizer zipo toka mwaka jana mwezi wa 3 au mpaka mwaka huu hawafahamu tu side effects za dawa?

Mie nachoshangaa ni kwamba sisi tusio na uwezo hta wa kutengeneza panadol (Of course tuna wasomi wa makaratasi) eti tunageuka wataalam sana wa Epidemiology na Virology kuliko WHO na Oxford? Are we serious.

Hvi unaweza nitafutia paper ilioandikwa na mtanzania yoyote kuprove ubovu wa hii vaccine? Ni maneno tu lakini wenzetu wamejaza paper mitandaoni za Epidemiology (Nimesoma ya implication to Fintech) kujustify uwepo wa chanjo.

Tuacheni utaalamu ufanye kazi yake maadam hao ndio tunawategemea kwenye madawa 99% tunayotumia kuponya VVU,UTI,Malaria basi tuheshimu pia kwenye chanjo.

Zaidi tuwekeze mabilion NEMC ili na sisi tuwe na uwezo kama wao kuliko kukosoa huku hatuna cha kuonyesha
 
Wewe usiye mshabiki umewahi fanya nini kwenye ulimwengu wa medicine? Eti unahoji Vaccine wakati hauhoji ARV au Chanjo ya Yellow fever lazima tushangae.

Afu unahoji kwa paper sio kelele.... Njoo na paper uipresent WHO pale kwamba vaccine hazijakidhi standards yaani maprofessor wote wa Epidemiology wa WHO hawajui hilo ila ww tu msomi wa Sociology ndio unalifahamu hilo.

Tuacheni kelele tutengeneze za kwetu... Mbona AU imeomba patent ili tutengeneze wenyewe. Badala mshikilie hilo bango mnaanza kejeli tu wakati kesho tena mnasubiri ARVs zitolewe huko huko kuja kuwatibu!!

Mnayo TFDA ina maana hamuwaamini kupima ubora wa hizo chanjo? Mbona mnatuaibisha.... Mara cjui barakoa za nje zina COVID utadhani hatuna TBS/TFDA kuhakiki hilo!! So funny
 
Unaongea kwa uchungu kwa kuwa wazazi wao waliugua covid,. Vp ambayo wamepoteza ndugu zao kutokana na madhara ya chanjo ambayo hazijamaliza kufanyia utafit?

Mkuu usiangalie wazaz wako au ndugu zako. Angalia athari za kiujumla kwa taifa na jamii yetu.
Nani kapoteza ndugu sababu ya chanjo?? Watu 20 kati ya million 17 waliodungwa AstraZeneca? Ama watu gani

Swali naomba nikuulize kuna dawa gani ambayo haina side effects!! Hvi unajua madhara ya Insulin au ARVs? Mbona hatupigi marufuku.

Ama madhara ya CT scan/chemotherapy na radiotherapy? Au hizo hujui zina side effects na fatality rate kubwa kuliko AstraZeneca??

Naomba uje na data sio kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…