zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwahiyo Unaonaje ARV na Dawa mseto tuache kutumia ili tuombe tu Mungu? Au Mungu anaponya corona tu na sio magonjwa mengine.Mpendwa wetu alikua ni rais mnajim
Dunia nzima hili jambo limetesa sana
Ila Magu alielewa hii kitu imetokana vp
M/mungu alitaka kuwakumbusha watu wake kwamba wamemsahau vya kutosha hivyo haraka wamrudie
Ile Magu kutamka hadharani kua hili tuna mwachia m/mungu , bas hapo mungu akatupa kinga
Na nan ni mbora wa kinga isipokua ulinzi toka kwa mungu???????
Bas Hakimu Mfawidhi , jiandae hutokuja kusikia watu 800 wamekufa kwa siku kisa korona
Kama NYC, hutokuja kuona jiran zako wanakufa kama kuku.
Hili jambo ni mungu tu anatulinda.
NB: kinyume na msimamo wa mpendwa wetu
Tujiandae na mengi
Hvi unajiskiaje nchi kma uingereza Ukimwi,Umaskini,ujinga, na njaa upo chini sana alafu hku Tanzania unatumaliza? Au Mungu anawapenda wazungu kuliko sisi?
Mkitaka kufanya comparison msichague kitu kimoja ndio muone jinsi mlivyo na akili ndogo