#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Mpendwa wetu alikua ni rais mnajim
Dunia nzima hili jambo limetesa sana
Ila Magu alielewa hii kitu imetokana vp

M/mungu alitaka kuwakumbusha watu wake kwamba wamemsahau vya kutosha hivyo haraka wamrudie

Ile Magu kutamka hadharani kua hili tuna mwachia m/mungu , bas hapo mungu akatupa kinga
Na nan ni mbora wa kinga isipokua ulinzi toka kwa mungu???????

Bas Hakimu Mfawidhi , jiandae hutokuja kusikia watu 800 wamekufa kwa siku kisa korona
Kama NYC, hutokuja kuona jiran zako wanakufa kama kuku.

Hili jambo ni mungu tu anatulinda.

NB: kinyume na msimamo wa mpendwa wetu
Tujiandae na mengi
Kwahiyo Unaonaje ARV na Dawa mseto tuache kutumia ili tuombe tu Mungu? Au Mungu anaponya corona tu na sio magonjwa mengine.

Hvi unajiskiaje nchi kma uingereza Ukimwi,Umaskini,ujinga, na njaa upo chini sana alafu hku Tanzania unatumaliza? Au Mungu anawapenda wazungu kuliko sisi?

Mkitaka kufanya comparison msichague kitu kimoja ndio muone jinsi mlivyo na akili ndogo
 
Ndugu, Corona ni Biashara za Wanasiasa na mabwanyenye wachache.
Biashara kwa faida ipi wakati corona imeangisha masoko ya mitaji? Mfano US imetoa matrillion kma relief package ssa ni vaccine za shingapi zitafidia hasara ya Covid???

Unajua elimu na exposure ni changamoto sana TZ.
 
Hii kauli ya “nani kaidhibiti corona?” ni ujinga mwingine mkubwa mlioletewa na Jiwe. Kwa akili finyu, kudhibiti ni sawa na kumaliza. Ni magonjwa mangapi bado yapo duniani lakini tunasema yamedhibitiwa? Dunia inapambana na Covid-19 sisi tumekaa pembeni kama mashabiki au wanga kusubiri washindwe. Wakipata tiba imara eti ndio tuanze kulilia msaada!

Kuna nchi zimefanikiwa kushusha kiasi na kasi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na Covid-19 na wanazo takwimu za kuthibitisha. Wanapitisha maamuzi kisayansi. Sisi tumekana na kuficha takwimu na kuendekeza kauli za kijinga kama “changamoto ya upumuaji”, “mtaani kwenu nani kafa kwa corona?”, “hakuna tiba ya corona”, “hatutaki chanjo”, “corona ni hofu tu”, nk.

Acha Mh SSH aturejeshee SANITY kwa kufanya mambo kwa akili.
Kuitaja tu Corona, tayari ni Jambo la kishujaa kwamba, tunaitambua na tunajishughurisha Nayo!!

Tumevaa barakoa, n.k
Bado unasema hatujishighurishi mkuu
 
Mkuu kuna mdau amekuomba uuandike msimamo wa Tanzania kuhusu Covid-19. Ni vyema ufanye hivyo ndipo umkosoe Mh Rais SSH kwa kueleweka vizuri zaidi.

Kuna wengi hatujawahi kuusikia msimamo huo ukitamkwa wala kuandikwa kwa uwazi kabisa! Umekuwa kama suala la speculations kibao!
Ushamfukuza hapa jukwaani maana hilo ni jambo zito kwake.
 
Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!

Unatoa matusi ya nini, ili uwekwe lockdown, au ulazimishwe kuvaa barako, ama upigishwe nyungu, au Chanjo??

Mbona siku zote hizo hujafanya?
Yeye hajaambukizwa kwakuwa amekubaliana na corona protocols na wale waliokahidi hizo protocol tayari wamekwenda na maji
 
Huna Chanjo, nyungu hujapiga, lockdown hujawekwa na huvai barakoa, lakini upo na hujaambukizwa!! Huoni kwamba unachokiogopa kinakuogopa?

Pumbavu mkubwa wewe!
Baba yenu kesha onja makali ya corona na sasa bado wewe tukuimbie mpeleke mpeleke kwenu koromitje
 
Kumekucha!

Yupo sahihi kabisa kwa sababu ile kamati ya mwanzo iliongozwa na PM Majaliwa na Ummy Mwalimu ilikuwa ni ya kisiasa siyo ya kitaalamu na haijawahi kuvunjwa!

Ndio maana ukaona Jaffo amejiingiza na nyungu zake.
Naona jiwe amewarudishia akili alizokuwa amewashikia...
 
Yeye mbona hakuchomoka kwenye hiyo corona?

Yeye mbona hakuchomoka kwenye hiyo corona?
Japokuwa alikuwa na mapungufu yake.Narudia kwenye issue ya marketing ya Korona unahitaji IQ kubwa kumuelewa marehemu,wewe unafikiri marehemu alikuwa hafahamu tatizo lake la moyo?unafikiri hakutaka kuishi miaka mingi au alikuwa hana uwezo wa kununua balakoa na kwenda ujerumani au uswis kucheki afya yake kila weekend?.Ulimpima au neno Corona linakuvutia sana kulitaja.
 
Chanjo sio hiari sababu utashindwa ku access nchi zingine kma hauna vaccine so wanadiplomasia, Wafanyabiashara n.k watakua affected.

Nyie mna NEMC mna TFDA and mkemia mkuu etc mnashindwaje kutengeneza chanjo yenu or at least kuomba patent mtengeneze copy yake!! Kwanini kulialia tu?

Anyway kama chanjo ikija haiwezi kufanyiwa vipimo na clinical trials kwa sample ndogo na kutoa conclusion kabla haijawa mass distributed?

Hvi watanzania ni Elimu au exposure ndio shida? Afu kituko ARV na Yellow Fever mnatumia!! Kwa beberu huyo huyo. Hata huu upuuzi unapost kwa simu ya beberu ila hauogopi kuwa ina sumu ya kukuua?
Mkuu unaelewa nachokieleza kweli maana naona kama hunielewi.
 
Kampeni ya malaria, ukimwi nk nazo zilivaliwa njuga, huenda ulikuwa hujazaliwa, waulize wazazi wako. Ni hivi, ushirikina sasa basi.
Ilikuwa mwaka ngani? Mi nimezaliwa 1967. Ufanisi wake upoje?
 
Mimi sio mjinga nimehoji!

Hivi Rais anapokuwa avai barakoa anafikiri amefata msimamo gani kuhusu Corona?
Anajificha nyuma ya kamati maana hata mtoto mdogo anajua fika kuwa kamati itamwambia afanye Lock down,watu wavae barakoa, Watu wajiandae na Astrazeneca!

Rais anaogopa kuonekana alikuwa kinyume na msimamo wa mtangulizi wake na hicho kichaka cha kamati ndio anataka kukitumia!
Nadhani rais ameamua kutumia watalaam kufanya utafiti ili kujua ukubwa wa tatizo na hatua za kuchukua. Amelichukulia hili swala kitaalam kuliko kisiasa kama alivyofanya mwendazake
 
Simple sample space, Kwenye Magroup yako ya Whatsapp(Kama Unayo) Wamekufa Wangapi?
Work group yangu tupo 6.... Wameuguwa Covid 19 watu watatu.

Mzee wangu aliwekwa ICU

Hapo sijasema kanisani kwetu tumezika wangapi kwa Covid.... Hyo ni mimi tu ssa jiulize kwa watu million 10 tu sample ikoje.

Hzi data ni za mwaka huu tu.
 
Nimepitia comments nying zana za watu hapa jamvini. Kama TANZANIA tuna safari ndefu sana. Watu wanakufa kwa hizi chanjo watu wanapata madhara na haionekani dalili za watu kupona baada ya chanjo S.A wamesema. UK inasema corona tuishi nayo, GERMANY wanasitisha chanjo.. Lkn kuna kundi la watu wanasema chanjo zije tu ama lockdown. BADALA YA KWENDA MBELE TUNARUDI NYUMA KWA NGUVU NA SPEED KUBWA SAANAAA. R.I.P TZ
 
Tukisema wazungu wanakufa sana kwa corona mnatuambia sisi hatuna takwimu kwa maana tunaona wazungu wanakufa sana(na hapo wameweka hadi lockdown pamoja na huduma bora za afya) kuliko sisi ni kwa sababu wenzetu wana takwimu sisi hatuna. Sasa kama issue ni takwimu basi tungeona hali mbaya zaidi kwetu kama ilivyotazamiwa kwa kuwa sisi hatuna huduma bora za afya na ukizingatia hatuchukui tahadhari.

Hoja yangu ilikuwa hiyo.

Sasa hayo ya sie kufa sana kwa ukimwi kuliko corona na wazungu kufa hata kwa mafua ndio maana wanakufa sana kwa corona hayo ndio ungeyaeleza wewe,maana katika moja ya utetezi wa kwanini afrika hatujaathirika sana corona ni kwamba kuna vijana wengi na vijana huwa na kinga imara kuliko wazee.
Huwezi sema hujafa sana wakati huna takwimu Mbona huelewi? Ww tupe takwimu mmepima wangapi na nani positive na nani kafariki/ recovery ndio uje hapa kupinga.

Kuhusu hoja ya medical facility? Nachosema magonjwa mengi tu wameweza control mfano VVU, Malaria,Influenza etc ssa kwanini unakejeli tu eti ''waliotuzidi kila kitu wanakufa zaidi yetu''?? Unapima kwa ugonjwa mmoja tena mlipuko more so hauna takwimu za nchini kwako?

Hvi hzi reasoning za wapi.

Mnadai tuna vijana wengi? Well kwanini VVU au Malaria haiwaui hao wazee wa ulaya ije iue vijana wenye kinga imara wa Africa? Au kinga ipo kwenye corona tu?

Naomba tujadili kwa facts
 
Kwan hizi chanjo zimepitia hatua zote hizo, km sample trials, na efficanty analysis, results interpretation n.k

Hayo yote kwwnye hizi chanjo hayapo, sasa wewe unasema nini??
hazijapita? Ina maana health experts wa WHO hawana huo utalaam kuliko wewe? Mbona clinical trials za pfizer zipo toka mwaka jana mwezi wa 3 au mpaka mwaka huu hawafahamu tu side effects za dawa?

Mie nachoshangaa ni kwamba sisi tusio na uwezo hta wa kutengeneza panadol (Of course tuna wasomi wa makaratasi) eti tunageuka wataalam sana wa Epidemiology na Virology kuliko WHO na Oxford? Are we serious.

Hvi unaweza nitafutia paper ilioandikwa na mtanzania yoyote kuprove ubovu wa hii vaccine? Ni maneno tu lakini wenzetu wamejaza paper mitandaoni za Epidemiology (Nimesoma ya implication to Fintech) kujustify uwepo wa chanjo.

Tuacheni utaalamu ufanye kazi yake maadam hao ndio tunawategemea kwenye madawa 99% tunayotumia kuponya VVU,UTI,Malaria basi tuheshimu pia kwenye chanjo.

Zaidi tuwekeze mabilion NEMC ili na sisi tuwe na uwezo kama wao kuliko kukosoa huku hatuna cha kuonyesha
 
Mkuu kuna watu wao ni mashabiki wa kila kitu kikifanywa na mataifa makubwa, bila hata kujipa muda kidogo kutafakari na kusoma hapo kidogo.

Wao ni kushabikia tu mambo.

Yaani kuna watu wanaishi kwenye dunia ya kuamuliwa kila kitu ktk maisha yao.
So sad
Wewe usiye mshabiki umewahi fanya nini kwenye ulimwengu wa medicine? Eti unahoji Vaccine wakati hauhoji ARV au Chanjo ya Yellow fever lazima tushangae.

Afu unahoji kwa paper sio kelele.... Njoo na paper uipresent WHO pale kwamba vaccine hazijakidhi standards yaani maprofessor wote wa Epidemiology wa WHO hawajui hilo ila ww tu msomi wa Sociology ndio unalifahamu hilo.

Tuacheni kelele tutengeneze za kwetu... Mbona AU imeomba patent ili tutengeneze wenyewe. Badala mshikilie hilo bango mnaanza kejeli tu wakati kesho tena mnasubiri ARVs zitolewe huko huko kuja kuwatibu!!

Mnayo TFDA ina maana hamuwaamini kupima ubora wa hizo chanjo? Mbona mnatuaibisha.... Mara cjui barakoa za nje zina COVID utadhani hatuna TBS/TFDA kuhakiki hilo!! So funny
 
Unaongea kwa uchungu kwa kuwa wazazi wao waliugua covid,. Vp ambayo wamepoteza ndugu zao kutokana na madhara ya chanjo ambayo hazijamaliza kufanyia utafit?

Mkuu usiangalie wazaz wako au ndugu zako. Angalia athari za kiujumla kwa taifa na jamii yetu.
Nani kapoteza ndugu sababu ya chanjo?? Watu 20 kati ya million 17 waliodungwa AstraZeneca? Ama watu gani

Swali naomba nikuulize kuna dawa gani ambayo haina side effects!! Hvi unajua madhara ya Insulin au ARVs? Mbona hatupigi marufuku.

Ama madhara ya CT scan/chemotherapy na radiotherapy? Au hizo hujui zina side effects na fatality rate kubwa kuliko AstraZeneca??

Naomba uje na data sio kelele
 
Back
Top Bottom