Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama hutaki hamia kwenu chatoHili suala!! Linahitaji tafiti Kweli za kisayansi, Ila maamzi yake yanahitaji Hekima kuliko huo utafiti wa kisayansi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hutaki hamia kwenu chatoHili suala!! Linahitaji tafiti Kweli za kisayansi, Ila maamzi yake yanahitaji Hekima kuliko huo utafiti wa kisayansi
Wasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?
Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?
Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?
Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?
Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?
Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?
Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!
Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?
Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?
Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?
Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wasalaam!
Matokeo yake kaondoka nayoLicha ya kuwepo mapungufu kupambana na covid lkn nchi hakuiweka
Lockdown,magufuli ni kama alikuwa anataka
Watanzania tuishi nayo tu
Ova
Umeonaeeeeeee?Mataga na wapiga vigelegele wa Sukuma gang mnapita katika kipindi kigumu sana.
Ghafla mmegeuka kuwa wapinzani. Hahahahaha
Wamekufa?Uingereza wameamua kufuata nyayo za Magufuli!
Zinaitwaje?Zipo za China!
Kawadanganye MATAGA wenzako ndiyoMpendwa wetu alikua ni rais mnajim
Dunia nzima hili jambo limetesa sana
Ila Magu alielewa hii kitu imetokana vp
M/mungu alitaka kuwakumbusha watu wake kwamba wamemsahau vya kutosha hivyo haraka wamrudie
Ile Magu kutamka hadharani kua hili tuna mwachia m/mungu , bas hapo mungu akatupa kinga
Na nan ni mbora wa kinga isipokua ulinzi toka kwa mungu???????
Bas Hakimu Mfawidhi , jiandae hutokuja kusikia watu 800 wamekufa kwa siku kisa korona
Kama NYC, hutokuja kuona jiran zako wanakufa kama kuku.
Hili jambo ni mungu tu anatulinda.
NB: kinyume na msimamo wa mpendwa wetu
Tujiandae na mengi
Ninyi ndio mlioi Hijack ajenda tengezeni chanjo halafu ndio tungeeNilivyoona id yako nikajua wewe ni mkushi mwenzetu, kumbe ni opposite.
Dah bora ungejiita plato, sio hayo majina yetu wakushi,
Halafu unakuja na mambo ya chanjo.
Jina lako, fake id yako ni vizuri ikaendana na mtamazamo wako.
Ni km upo tayari niambie nikupe id inayoendana na mtazamo wako.
Sisi wakushi hatutaki chanjo.
Mungu ndiye pekee aliye mkuu, wa kuabudiwa. ukjikweza au ukikwezwa, kutaka kujifananisha na Mungu, lazima Mungu atawadhihirishia wanadamu kuwa biadamu si chochote mbele yake.huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Mleta huu uzi ni CHAWA haswaa wa Jiwe hivyo huu uzi hakuuleta kwa bahati mbaya.We mjinga nini?
Kwani Rais ni Daktari?
Na anafanya weledi kuwatumia wataalam kuliko yule alisema tuijfukize na kula Bupiji, halafu akaondoka yeye!
Muulize Mnyika anazo hapo Ufipa!Zinaitwaje?
Kisa siku za maombolezo zimekwishaMbatizaji..nawe pia umemsaliti mzee wako JPM! Hakika tutaona mengi..
😂 😂 😂Kumekucha!
Yupo sahihi kabisa kwa sababu ile kamati ya mwanzo iliongozwa na PM Majaliwa na Ummy Mwalimu ilikuwa ni ya kisiasa siyo ya kitaalamu na haijawahi kuvunjwa!
Ndio maana ukaona Jaffo amejiingiza na nyungu zake.
Huna Chanjo, nyungu hujapiga, lockdown hujawekwa na huvai barakoa, lakini upo na hujaambukizwa!! Huoni kwamba unachokiogopa kinakuogopa?Uzuri wa corona inawatafuna watu wenye kushupaza shingo kama nyinyi ndiyo inaondoka nao .
Mbona wakati hajafa ulikuwa unaishia kukata mauno kupongeza?Niko katika uhalisia bwashee!
Wachana na hao maboya wasiyo jua kuwa Magu keshaitwa na munguKwani chanjo ya corona ni astrazeneca tu??? Mbona umeshindwa hata kuficha upumbavu wako????
Nyie mapandikizi ya nchi jirani mliyojiunga Ccm Kwa sababu ya pandikizi mwenzenu Magufuli jiandaeni tu. Nchi inarudi kwenye sanity na sio ujinga na upumbavu wenu.
Rais yuko sahihi hafanyi maamuzi kwa kukurupuka, anasikiliza kwanza ushauri wa kitaalamu. Hivyo ndo dunia ya kisasa inavyokwenda
Wewe unaakili kidogo mnoKama hutaki hamia kwenu chato
Wakush my foot.... Mkush gani ww una akili ndogo hivi? Rwanda/Watutsi na Ethiopia wote hao wamekubali Chanjo ndio sembuse mkush wa Runzewe?Nilivyoona id yako nikajua wewe ni mkushi mwenzetu, kumbe ni opposite.
Dah bora ungejiita plato, sio hayo majina yetu wakushi,
Halafu unakuja na mambo ya chanjo.
Jina lako, fake id yako ni vizuri ikaendana na mtamazamo wako.
Ni km upo tayari niambie nikupe id inayoendana na mtazamo wako.
Sisi wakushi hatutaki chanjo.