Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Dah! Atulie tu nyumbani sasa.
 
Katika safar zote Samia alizofanya, ziara ya kiserikal aliyofanya n moja tuu.. Ya Kwenda Uganda. Ziara nyingine zote ni kuzuru tuu nchi mbalimbali sio za kiserikal ndio hapokelewi kiserikali.
 
Siujali anapokelewa na nani, ila ninachofurahia ni pale dege la ATCL likiwa na bendera ya Tanzania na Twiga linapotua uwanjani kwao kuonyeahs kuwa Tanzania ipo. Nadhanim kwenda Marakani na ulaya alipanda Emirates na kunikosesha raha hiyo.
 
Katika safar zote Samia alizofanya, ziara ya kiserikal aliyofanya n moja tuu.. Ya Kwenda Uganda. Ziara nyingine zote ni kuzuru tuu nchi mbalimbali sio za kiserikal ndio hapokelewi kiserikali.
Kwa nini akazurure kama siyo ziara ya kiserikali. Yaani hata Kenya alikwenda kuzurura tu?
 
apunguze safari za nje. kitu adimu hutakwa na wengi. she has become too common, mfano alikwenda rwanda, lakini kagame alituma messenger tu. Kenya vile vile hata DRC.....someone should tell her to recheck her trips
Ndiyo mjue Africa ilimtambua JPM na kutamani aendelee vile alivyokua Kwa sababu JPM alikua anatuma sms duniani kwamba Africa Kuna miamba wenye maamuzi juu ya ardhi zao, waafrika wengi walimpenda kimya kimya huko walipo ktk nchi zao, hivyo basi wanachelea sana kuamini na kukubali kifo chake kua kilikua ni Cha MUNGU, hawasemi lakini Wana mashaka yamkini
 
JPM ameingiaje hapa...... Jifunze kuheshimu waliotangulia mbele za haki
 
Sasa nimeamini kuwa mama anachukiwa kwa sababu zifuatazo.

1. UZANZIBAR WAKE.
2. DINI YAKE.
3. JINSIA YAKE.

Binafsi Mama Samia amejitahidi sana, nilikuwa shabiki wa Magufuli, ila Rais Samia kaonesha mambo makubwa mno.
Labda watu wanahisi pia kuwa uongozi wake umelenga kufaidisha zaidi Zenj yake, diny yake, na jisy yake!! Ni mawazo tu maana hata mimi sielewi!!
 
We chizi nini?
wewe ni mwehu kabisa. uzi hauzungumzii jpm lakini umeusukumia huko. learn to read between lines and how to control your emotions. kama huwezi, acha kucomment. soma kisha sepa
 
Mwenye macho na asikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…