Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
Unajua
Unajua JF imeingiliwa na wasiokuwa na uwezo wa kufanya study kabla ya kukimbilia kwenye keyboards. JF inapoteza its status of being a forum for great thinkersKuna ziara tofauti, kuna state visit hizo ambazo wanapokelewa na wakuu wenzao na working visit.
Actually, kiuchumi, working visits ni muhimu kuliko state visits, kwa sababu kwenye working visit kunakuwa na focus kwenye kazi na biashara kuliko diplomasia.
Kwenye state visit muda mwingi unatumika kwenye diplomasia kuliko uchumi.
Kwa hivyo, unaweza kuona rais hapewi heshima sana (working visit), wakati hizo ndizo ziara nzuri kiuchumi.
Soma tofauti hapo chini
![]()
Trump won't get the VIP treatment on UK trip, but what's the difference between a state visit and working visit?
The UK will welcome US President Donald Trump later this year, but a State Visit is off the cards. What is a State Visit and what will Trump get instead?www.verdict.co.uk