Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Siyo tu hapokelewi hata vyombo vya habari vya huko haviandiki chochote kuhusu uwepo wake, kwa kifupi hawajui hata kama kuna raisi wa nchi x katembelea Nchi yao!
Kwan ww unasema rais kuna mtu alie mpigia kura hapa tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitu sio chaguo la wananchi hata nchi zingine zinawezaje kumtambua
 
The deep thinkers wanaandaa mpango wao, so ni kumpangia trip na safari kibao ili asijue kinachoendelea nchini, na hana ubavu wa kukataa safari.

Refer kwa Papa John Paul, alipiga safari mpaka akaja Mwanza Pansiasi akasali, ila wajanja the deep walikuwa wanajua wanachokifanya mwisho wa siku Papa kaja kustuka kila kitu kilishabebwa na wajanja na kuweza ku control vatican mpaka leo
Ni kwa manufaa ukieleza zaidi ili Rais wetu nae asiingie mtegoni
 
Mavazi ni uchaguzi wa mtu
Kwenye level za viongozi mavazi ni protocol huvai vai tu kama mtu wa mtaani ndio maana ukichaguliwa kuwa dc tu unapewa fungu la kujiandaa kimavazi na muonekano wa kuingia kwenye hayo madaraka usiropoke et uchagusi wa mtu
 
Sielewi nini kimekwenda tofauti katika diplomatic...
Zamani mapokezi ya wakuu wa nchi yalikiwa kama tulivyo mfanyia Obama.
Hata kwa mkuu wa nchi ndogo akifika basi alipewa mapokezi ya heshima ya juu mno... sijui what went wrong
Shobo & Priorities.
 
Kwenye level za viongozi mavazi ni protocol huvai vai tu kama mtu wa mtaani ndio maana ukichaguliwa kuwa dc tu unapewa fungu la kujiandaa kimavazi na muonekano wa kuingia kwenye hayo madaraka usiropoke et uchagusi wa mtu
Fungu kama Fungu. Unasusiwa Mwanawane.
 
Sasa nimeamini kuwa mama anachukiwa kwa sababu zifuatazo.

1. UZANZIBAR WAKE.
2. DINI YAKE.
3. JINSIA YAKE.

Binafsi Mama Samia amejitahidi sana, nilikuwa shabiki wa Magufuli, ila Rais Samia kaonesha mambo makubwa mno.
Uwezo wako wa kufikiri na kung'amua mambo ni mdogo sana kama umefikia kuamini hayo uliyoandika kupitia hii thread.
 
Kwenye level za viongozi mavazi ni protocol huvai vai tu kama mtu wa mtaani ndio maana ukichaguliwa kuwa dc tu unapewa fungu la kujiandaa kimavazi na muonekano wa kuingia kwenye hayo madaraka usiropoke et uchagusi wa mtu
Unalazimisha protocol ya nchi yako ndio iwe kwenye nchi nyingine?
 
Back
Top Bottom