Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
Hata hizo nyingi,si kuna balozi na watendakazi wa idara zote.Kwa mikopo ya Nchi yetu na uendeshaji wa Nchi yetu tungepunguza safari za Rais Mawaziri wa sekta wawajibike ipasavyo.Katika mabadiliko yajayo ya katiba tuweke Ibara ya kudhibiti safari za raisi. Raisi asafiri safari zisizozidi 5 kwa mwaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
Hata wangevaa boksa tungekubali tu mkuu...teh😜Mavazi ni uchaguzi wa mtu
Sio wote wapo stylish kama Bongo, na uje Tz ina watu wapo updated sana.Asiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
Matercore yakorWew umefanya uchaguzi wa kimagumashi halafu unataka dunia ikuone kuwa ni kiongozi wa nchi halali thubutuu in Tundu Antipas Lissu's voice. Heshima yako inajengwa kwa matendo yako na sio watu wengine.
Ghana ni ktk nchi ambazo ktk Afrika zinatiliwa mfano kuwa na demokrasia nzuri unataka Rais wake akampokee Samia amabaye ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 kule Mbeya alisema hata mkichagua wapinzani CCM itaunda Serikali?
Dunia ni Kijiji kwa sasa chochote ufanyacho kinaonekana duniani sio Siri tena. Yeye akazane kuunganisha umoja wa nchi kwa Sasa hususani kuongea na wapinzani hususani Chadema na kuwaomba radhi kuwa walifanya uhuni na aseme nimekosa Mimi mimekosa sana, Chama changu CCM kimekosaa sana,hapo wananchi tutamuelewa.
Raia wa GhanaMlitaka apokelewe na watu wa aina gani..?
Nafikiri huyu kulia ni waziri wa mambo ya nje
Movie za Bolywood haziwezzi mpita huyuHalafu kuna sehemu nimesoma, eti ana safari nyingine tena ya kwenda kwa akina Sharuh Khan!
Mwe!! Awamu hii Bomberdier za Mzee wa Chattle zitatendea haki.