Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Hebu THE FIXED COST FALLACY uje huku utuambie kama hiyo Ilikuwa STATE VISIT au Invitation by the African Development Bank kwenda kupokea tunzo huko accra? Kama ingekuwa State Visit bila shaka Nana Akufo Addo Rais wa Ghana angempokea Hangaya !!!
 
Kule Marekani alisema Kuna mambo alikuwa hakubaliani na JPM. Yawezekana la kutosafiri lilikuwa mojawapo. Acha nae amwagilie moyo wake Sasa Baba mnoko si hayupo bana na yeye ndo sterling wa mchezo.
 
Wakuu, hivi kweli mkuu wa nchi anaweza akapolekewa na hawa watu kweli?

Kuna huyu amevaa kana kwamba ametoka kwenye ofisi ya mtendaji kuandikisha mkataba wa mauziano ya mifugo (na mkoti wake na safety ruber shoes.

Halafu na huyo mdada kama mratibu elimu kata Wallah.

Mama amepokelewa huko Accra, Ghana. Halafu kuna lijamaa halina hata kisogo.

Rais na viongozi wa juu wako bize na masuala ya utawala wa nchi yao. Huyu safari zake zisizo na kikomo apokelewe hata na m/kiti wa mtaa.
 
Hebu THE FIXED COST FALLACY uje huku utuambie kama hiyo Ilikuwa STATE VISIT au Invitation by the African Development Bank kwenda kupokea tunzo huko accra? Kama ingekuwa State Visit bila shaka Nana Akufo Addo Rais wa Ghana angempokea Hangaya !!!
Ohooooo....
Mkuu wewe ndio umenipa jibu mujarab kabisa.
Kwahiyo kumbe hao walio mpokea Hangaya ndio watoa tuzo...??
Dahhhh....
Ila huyo binti aliyevaa viatu hadi mguu ukapitiliza ndio nimempenda bure...🤣😜
 
Sasa tuzo si angeenda kuchukua hata makame mbalawa 😁
 
Wakuu, hivi kweli mkuu wa nchi anaweza akapolekewa na hawa watu kweli?

Kuna huyu amevaa kana kwamba ametoka kwenye ofisi ya mtendaji kuandikisha mkataba wa mauziano ya mifugo (na mkoti wake na safety ruber shoes.

Halafu na huyo mdada kama mratibu elimu kata Wallah.

Mama amepokelewa huko Accra, Ghana. Halafu kuna lijamaa halina hata kisogo.

Mavazi mara mwengine lijamaa halina kisogo? Kabisa ni hoja hii? Aisei ! Hebu basi tumuache Rais afanye kazi. Maana hoja nyingine urojo sana!🙏🙏
 
Upo sawa mkuu...
Haturudii kumsuta tena...😂😂
 
ametoka kwenye ofisi ya mtendaji kuandikisha mkataba wa mauziano ya mifugo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mxiueeee ila watu[emoji114][emoji114]
 
Back
Top Bottom