Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwema jamani?

Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?

Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.

Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.

Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?

Anajidhalilisha mwenyewe tu, did she have to go to Ghana? Hii tabia ya kumuiga Kikwete kwa kila ujinga ndiyo inamlostisha huyu Mama
 
Kwema jamani?

Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?

Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.

Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.

Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?

Hata kwenye familia yako / jamii, ukijionesha kuwa wewe ni mwenye njaa sana kubali msibani au ugenini kupewa kitanda na kulala na kitoto kikikojozi kitanda kimoja. Jitahidi kuuficha umaskini wako siyo wakikuona kwa jirani wajue umeenda kuomba chumvi.
 
Mwandishi wa uzi huu naomba nikuulize,hivi aLiyekuwa raisi wa Marekani George w Bush,alipotembelea Arusha wakati uleee alipokelewa na nani?
 
Mwandishi wa uzi huu naomba nikuulize,hivi aLiyekuwa raisi wa Marekani George w Bush,alipotembelea Arusha wakati uleee alipokelewa na nani?
 
Asiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Kama yeye ameamua kujishusha wao wenyeji wake wafanyeje. Chengine, yeye hatulii nyumbani kwake kupajenga. Kutwa kucha kiguu na njia. Anawakuta wenzake wako bize ndio maana wanamtumia Watendaji Kata kumpokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti watendaji wa kata.
Khaaaah.
 
Wakuu, hivi kweli mkuu wa nchi anaweza akapolekewa na hawa watu kweli?

Kuna huyu amevaa kana kwamba ametoka kwenye ofisi ya mtendaji kuandikisha mkataba wa mauziano ya mifugo (na mkoti wake na safety ruber shoes.

Halafu na huyo mdada kama mratibu elimu kata Wallah.

Mama amepokelewa huko Accra, Ghana. Halafu kuna lijamaa halina hata kisogo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangi mie
 
Ohooooo....
Mkuu wewe ndio umenipa jibu mujarab kabisa.
Kwahiyo kumbe hao walio mpokea Hangaya ndio watoa tuzo...??
Dahhhh....
Ila huyo binti aliyevaa viatu hadi mguu ukapitiliza ndio nimempenda bure...[emoji1787][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Back
Top Bottom