Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Niliwaambia Kikwete kamlisha miguu ya kuku!
Yaani anatia haibu, rais mzima unapokelewa na viranja kweli, where's her worthy? Mama tafadhali baki nyumbani nasi, hauna haja ya kutalii duniani....unajidhalilisha mno na kukosa maana.
 
Kwema jamani?

Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?

Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.

Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.

Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?

Hii kweli dharau.
 
Hivyo, hiyo carpet nyekundu itakuwa imeazimwa nyumba jirani na airport au!!!
 
Kwema jamani?

Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?

Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.

Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.

Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?

Mara nyingi Mapokezi rasmi hufanyika ikulu ya nchi husika, hiyo imekuwa practice kwa nchi nyingi, gwaride, tete a tete, mkutano wa delegation zote mbili, mkutano na wanahabari, Dhifa ya kitaifa. Then siku inayofuata kama kuna ratiba nyingine mgeni anaendelea. then Airport. Ila huko naskia kuna ratiba pia na AFDB
 
IMG_9951.jpg

Mwenyekiti wa kijiji akipokea kiongozi wa Tanzania na msafara wake.
 
USA alienda safarii binafsi kuzindua filamu na sio ya kiserikali
 
We ni mpumbavu na mwenye dharau sana
Msidhani huko nje wanatupenda zaidi ya kujipenda sisi wenyewe...JPM hakuvuka mipaka kwa sababu alijua maisha ni kujipambania mwenyewe na si kujibembeleza kwa watu

Mkuu wa nchi kwenda nje na viongozi wakubwa hawastuki unapokelewa na wananchi wenzio wanaoishi huko,hiyo ni sms kubwa sana ambayo kila mTanzania anapaswa kujua
 
Msidhani huko nje wanatupenda zaidi ya kujipenda sisi wenyewe...JPM hakuvuka mipaka kwa sababu alijua maisha ni kujipambania mwenyewe na si kujibembeleza kwa watu

Mkuu wa nchi kwenda nje na viongizi wakubwa hawastuki unapokelewa na wananchi wenzio wanaoishi huko,hiyo ni sms kubwa sana ambayo kila mTanzania anapaswa kujua

IMG_9951.jpg

Nawakumbusha tu jamaa mwenye koti la suti ni mwenyekiti wa kijiji nchini Ghana
 
Kwa US President haji kukupokea Airport kwa hiyo hakuna cha ajabu pale, na alikuja kwa royal tour sio state visit, Raisi kuja Airport kupokea mgeni na kufunga mabarabara ni mambo ya Africa wenzetu walishaacha
 
Raisi wetu anasafiri sana, hivi angekuwa anasafiri mara moja ndani ya miezi mi4 angepungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom