Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kule wapo busy na mambo ya msingi na siyo Royal tour
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana time naye tenaAtulie sasa maana washamchoka
Ghana wanawaza kuwa kama U.k baada ya miaka 20 ijayo wewe unawaza Royol tourduuh kuchokana mapema namna hii.
Mbona Uhuru Kenyatta alipokelewa na Biden? watu serious hupokelewa na watu seriousSielewi nini kimekwenda tofauti katika diplomatic...
Zamani mapokezi ya wakuu wa nchi yalikiwa kama tulivyo mfanyia Obama.
Hata kwa mkuu wa nchi ndogo akifika basi alipewa mapokezi ya heshima ya juu mno... sijui what went wrong
Hicho kibanda kama kile cha Makonda.Ujuaji wa waTz bhanaView attachment 2236165
Hivi kwani hujuwi kuwa Ghana ni nchi ya kidemocrasia full na Tz bado niwajamaa na serikali ipo kijamaa ? Hivi hujuwi kuwa Ghana ni best wa Mmarekani na eur country na wewe ni rafiki ww mchina na Russia? Ugana nk?Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
Rais wetu hakwenda ghana kwa mwaliko wa rais wa ghana yuko huko kwa mwaliko wa africa bank, na marekani pia alikwenda kwa shughuli ya kuzinduwa royal tour hakuwa mgeni wa serikali ya marekani na huko uganda alikwenda kwa mwaliko wa rais wa uganda hivyo ndivyo protocal ilivyo sikulaumuni mnaosema ovyo kwa sababu ya kutokujuwa kwenu.Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
Hilo gauni ndio kanunua Mara ClaraView attachment 2236339
Mwenyekiti wa kijiji akipokea kiongozi wa Tanzania na msafara wake.
Kwa sababu kwenye Royal Tour Peter Greenbarg aliutangazia ulimwengu kwamba Rais Magufuli alikufa kwa Covid19.Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
Bibi Anapendwa na Dunia Nzima.Sasa nimeamini kuwa mama anachukiwa kwa sababu zifuatazo.
1. UZANZIBAR WAKE.
2. DINI YAKE.
3. JINSIA YAKE.
Binafsi Mama Samia amejitahidi sana, nilikuwa shabiki wa Magufuli, ila Rais Samia kaonesha mambo makubwa mno.
Wanaweza kuwa bongo movie wa Ghana, Mzee Makamba alimwambia Raisi apumzike kufanya kazi asije akachoka 2025 hakashindwa kufanya kampeni, ndiyo maana wezi Wana mzungusha nje ya nchi ili waiba Kwa RahaWakuu, hivi kweli mkuu wa nchi anaweza akapolekewa na hawa watu kweli?
Kuna huyu amevaa kana kwamba ametoka kwenye ofisi ya mtendaji kuandikisha mkataba wa mauziano ya mifugo (na mkoti wake na safety ruber shoes.
Halafu na huyo mdada kama mratibu elimu kata Wallah.
Mama amepokelewa huko Accra, Ghana. Halafu kuna lijamaa halina hata kisogo.
Katibu mkuu kiongoz wa ikulu ya Ghana, au Waziri mkuu, Makamu Wa Raisi, Yani Raisi wa nchi kubwa anapokelewa na watembeza bidhaa za promotion, ndiyo Maana Dikteta uchwara alikuwa ana sema Tanzania imezaraulika Sana Dunia tunaitaji Tanzania iliyokuwa inaeshimika kama zamani.Mlitaka apokelewe na watu wa aina gani..?
Yani kiatu cha 3000 pale karume, Yani ni aibu Tanzania tuna zalilishwa Sanahicho kiatu cha huyo mjomba hapo ndo kimeshusha sana credit aisee [emoji848][emoji848]