Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

“Niachie mimi na watanzania wenzangu ”

Hao wenzangu nahisi ni kina mwezi wa kwanza ila sio sisi.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
jamaa alianza kuonyesha dharau Khaloo Samia akamshitukia .sasa akamgeuzia masuali.
 
Ni dhahiri Rais amekomaa kuongea na Press. Nampongeza sana kwa alivyochomoa kuingia kwenye mtego wa ahadi hewa.

Naye Kikeke alijioanga kufanya interview ambayo ingemfagilia sana kama Tim Sebastian alivyomhoji Benjamin Mkapa enzi zile.
 
Mama kaamua kukiuka maagizo aliopewa Baada ya kukalia kiti vizuri!!!tujiulize waliompa maagizo akakaidi watakubali kufanywa mazuzu!!!???
 
Hata wanaodai Katiba mpya wangekuwa wao madarakani hiyo isingekuwa kipaumbele
Ndiyo maana tunataka katiba mpya ili kumpunguza nguvu mshindani wetu ili tuweze kupata nafasi ya kuingia madarakani.
 
Labda nikupe namba ya mh.rais umpigie umuulize mwenyewe
 
Ni dhahiri Rais amekomaa kuongea na Press. Nampongeza sana kwa alivyochomoa kuingia kwenye mtego wa ahadi hewa.

Naye Kikeke alijioanga kufanya interview ambayo ingemfagilia sana kama Tim Sebastian alivyomhoji Benjamin Mkapa enzi zile.
Mama ni ndugu yetu katika imani, au sio?
 
Mbona kawa mkali hivyo

Hili la katiba halijaanza leo

Hapo ilikuwa awe na majibu ya kuridhisha ila kajibu kwa woga sana
 
Back
Top Bottom