Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa

Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya

Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha

View attachment 2158872
Kumbe mama ni hodari wa kuwajibu vizabinazabina.

Uingereza yenyewe haina katiba ya kuandikwa na hiyo marekani tangu uhuru miaka zaidi 200 katiba ni ileile.

Ila kila siku kusapoti vibaraka wanaosumbua eti wanataka katiba mpya.

Wanachotaka ni fujo tu kuisumbua serikali isihangaike kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Hivi kwa nn tunakubali na kuridhia kuhojiwa na vyombo vya habari vya nje kama hatuko tayari kuhojiwa mambo yetu?

Tuwe tunakataa kabisa kuhojiwa?

Kiswahili


English
 
Hao walipigwa risasi 16 kama yeye?
Kuhusu Lisu alikuwa sahihi sana! Hivi Lisu anajiona yeye nani?

Eti uhakikishiwe ulinzi kwani hawa watz wengine wakiwemo kina Mnyika, Zitto, Mbowe nk wamehakikshiwa ulinzi na nani?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Lugha hizi zinapatikana ,Temeke Mikoroshini,Sandali,Tambuka Reli ,Kwa Maguruwe ,Yombo Kwa Fundi Umeme nk!
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 


Katika mahojiano na Salim Kikeke, Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kuahidi atahakikisha anatuachia katiba mpya kabla ya kuondoka madarakani ikiashiria ugumu wa kurekebisha dhuluma za uchaguzi ambazo marekebisho yanaweza kusababisha sisiemu kupoteza madaraka.
 
Back
Top Bottom